Recent content by Mr DIY

  1. Mr DIY

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Huoni ulikuwa nje ya mada? Alikutuma fundi
  2. Mr DIY

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Naona umetumwa ukatumika
  3. Mr DIY

    Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

    Hii nadhani ndiyo itakayojengwa sababu lupembe ni eneo muhimu kiuchumi kwa mkoa wa njombe na lianhitaji kufunguliwa mapema mno
  4. Mr DIY

    Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Tafuta biomedical engineers wa kazi hizo, kwa baadhi ya vifaa kama xray za phillips huwa na mafundi wao, anyway kama unamiliki hosp au kifaa husika sio rahisi kujiuliza swali kama lako
  5. Mr DIY

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Huo ni msisitizo kama grammar haina shida niombe radhi kwa kuingilia post yangu ukijifanya mwl wa kingereza kumbe bogaz tu
  6. Mr DIY

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    https://edition.cnn.com/2024/04/18/middleeast/isfahan-iran-explosion-intl-hnk/index.html?Date=20240419&Profile=CNN+Breaking+News&utm_content=1713495549&utm_medium=social&utm_source=twitter Inasemekana military base imekuwa hitted huko Iran asubuhi hii,
  7. Mr DIY

    blackberry key2 ina android

    Hongera maana ni wewe tu
  8. Mr DIY

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Ndugu ingia mtandaoni, ila kuna watu wa anti tesla pia kuwa nao makini
  9. Mr DIY

    Hii decoder inafanyaje kazi ndugu zanguni ?

    Gtv kitambo sana, sijui kama dekoda zake waweza pata huduma kwa sasa
  10. Mr DIY

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kuna tweet moja eti ilisema kenyan women are most beautiful women in africa, dah chezi hizo usingizi zao...
  11. Mr DIY

    Ni kweli mtu akitumia dawa ya UKIMWI hawezi kumuambukiza mwenzake hata bila kutumia kinga?

    Inawezekana kabisa provided huyo mwathilika yuko na viral suppression, zamani ilikuwa ngumu kujua nani ana viral suppression na nani bado ana kopi nyingi ya virus kwenye damu yake mpka ilipokuja kipimo cha Viral load, mteja mwenye majibu ya TNG yaani target not detected maana yake hana free...
  12. Mr DIY

    Ukija kuamua kuanza kufuga utafuga mnyama gani?

    Juzi nilikuwa ifakara huko nimekutana na mama mmoja amefanya sana kazi bank kwa sasa anafuga mno, nimemkuta na kitimoto kama 2000 hivi na kuku zaidi ya 4000
Back
Top Bottom