Recent content by Pedro

 1. P

  Symbion Power: Intelligence watupu

  Hivi inawezekana kuwa pale Muhongo alipokuwa anatajataja malipo kwa wakili mkono kuna kitu alikuwa anakisema kisailensa? Inawezekana kwakuwa Muhongo ni mpya huku serikalini hayuko kwenye umiliki na wenyewe ni wale ambao wamebobea sasa jamaa akawa na hasira sana kuona kuwa anabebeshwa mzigo usio...
 2. P

  Mariah Carey: "I Was Naive" About Singing for Qaddafi Family

  Warudishe fedha za nini wakati kazi washafanya? wewe ikujulikana kuwa mwenye kampuni unayofanyia kazi ni mwizi utarudisha mishahara uliyolipwa?
 3. P

  Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

  Kuwa shoga inawezekana kabisa kuwa something somewhere went wrong! hili nitalikubali maana mwamaume wa kawaida hawezi tu kwa hiari kuamua eti anaanza kupenda wanaume. Sasa tukishakubaliana kuwa hawa watu hilo lililowakuta hawakujitakia ni kwamba imewatokea tu lazima tushukuru kwanza...
 4. P

  Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

  The names I called these people were translated as ***, the *** means these people are Idio**ts
 5. P

  Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

  Tigger hapa unajaribu sana kuwaelimisha watu, I admire that. One thing you have to know: wabaguzi ni watu wa kipuuzi sana, anything which is not like them basi sharti wabague, mtu akiwa different kulingana na wao basi lazima abaguliwe. These people are ****** and they can be found all over the...
 6. P

  Mashoga sasa rukhsa jeshi la Marekani

  Wote mnaoponda hii ni wapuuzi tu. Ni ile ile tuliyowahi kuonywa, ukianza kumbagua shoga then utaishia wapi kubagua?utambagua mwingine kwa rangi ya ngozi,then wengine kwa upana wa pua, wengine sijui kwa ajili ya nini, mtasema oo huyu sijui muhindi, ooh huyu sijui hatoki Mwanza , ooh sijui huyu...
 7. P

  Role of Indians in the Tanzanian Economy

  Hivi huyu mwandishi Johnson Mbwambo is he serious about fighting ufisadi? yaani anataka kutuambia anakemea ufisadi pale tu wafanyabiashara wa kihindi wanapohusika, lakini asingekuwa na matatizo kama wazawa wangehusika? Hivi tukihesabu mafisadi kuanzia walioachishwa uwaziri mpaka waliomfukuza...
 8. P

  US Election Coverage 2008

  Nyani kubali tu Mama amepigwa chini flat and square. Unafahamu upande wa Mama slogan ilikuwa "yes she can" sasa kwa upande wa Obama its about us "yes we can" us includes everyone not only some hard working people who stood with her. Kwa hiyo ukilinganisha "she" and "we" utagundua "we" ni wengi...
 9. P

  US Election Coverage 2008

  Ebwana huyu HRC nuksi kweli yaani hiyo race card anaitumia kishenzi, umeshamsikia hata siku moja Obama akisema kuwa HRC hawezi kuvuta kura za Blacks?
 10. P

  Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

  Uraia wa nchi mbili hasa za Ulaya kama hao mafisadi watauchukua itakuwa bomba sana, maana nchi kwa mfano kama Ujerumani hata ukitoa rushwa nchi nyingine wao wanakuchunguza kuanzia hukuhuku, kuna mameneja wa Siemens hata Rushwa hawakuchuka wala kutoa, ila walijua kampuni yao imetoa rushwa nigeria...
 11. P

  Mkapa above the law?: Allegations

  Sawasawa it is a very good gesture kutoka kwa ukoo wa Nyerere, labda itasaidia kuleta mwanga zaidi, lakini wajibu mkubwa upo kwa serikali ya Tanzania kufuatilia hili jambo maana serikali ndio wananchi na haiwezekani kufurahia kuibiwa mchana kweupe kila mtu akiona.
 12. P

  Mkapa above the law?: Allegations

  Hivi watu wanaong'ang'ania Mkapa aongee wana fikiria nini? kila kitu kiko wazi sasa wao wanataka yeye aseme nini? Watanzania wamekaangwa na mafuta yao wenyewe full stop. Mtu anawakopa watanzania milioni 750, halafu ananunua mali ya watanzania yenye thamani ya bilioni 400 mara 70 and then mara...
 13. P

  Educated TZ Immigrants in US in tough Situation

  Jamani mbona karatasi za xxl hazina noma? XXl watamu sana! halafu juu yake karatasi hilo! mbona bongo mademu wanene tulikuwa tunawachangamkia tu? bila karatasi wala nini! na juu yake tulikuwa tunawatoa out vilevile. wengine ilikuwa katika kuchagua demu mwembamba au mnene tulikuwa tunachagua...
 14. P

  US Election Coverage 2008

  Nyani acha kuchemsha, jina gani hilo unatumia hapo? stick to the issues, that is a tactic used at the times of desparation, mimi nilifikiri campaign ipo bado tight sasa nini kukata tamaa mapema hivyo and start calling people strange names? By the way mwambie Mama Clinton aache jazba...
 15. P

  GEORGE BUSH in TANZANIA (pictures only thread)

  Mkuu FM, jamani uzembe wa nchi zetu na kuchukulia mambo juu juu si unaujua? gari ya kibongo hata ikipigwa jiwe linaingia ndani sasa mzee kichaka awe amepanda gari yetu halafu ipate pancha si itakuwa soo? wacha apande hiyo yake imara, Maana akipanda yetu ikapata ajali je hiyo responsibility...
Top Bottom