• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Paw
Reaction score
418

Profile posts Latest activity Postings About

 • VIKWAZO
  Halisi Senior Member


  Join Date : 16th January 2007
  Posts : 2,774
  Rep Power : 31


  HII ID INA POST 2000+ LAINI NI SENIOR MEMBER NAONA KAMA INAWEKA MKANGANYIKA KIDOGO uniformity inaondoka hapo pia ni ya zamani sana
  Ginner
  nataka permission ya kua access the rest of the forums nilizofungiwa including la watu wakubwa n so on............a favour plz
  Feedback
  Mbona thread yangu mmeitoa Jukwaa la Siasa na kuipeleka jukwaa la sheria wakati haihusiani na sheria?Naomba at least muiweke jukwaa la Habari mchanganyiko kwa sababu ni habari ya kawaida na source yake ipo? 'Interpol wanasa bilionea mwingine Arusha'

  Please,

  Feedback.
  Obe
  Habari!
  Nifanyeje ili niweze kuanzisha thread, nashindwa kupost topic, naomba msaada plz
  Paw
  Nimeiona umeiweka kwenye reported issue.
  Siwezi kukuahidi chochote but inaangaliwa kama ina mashiko
  Masanilo
  Mazee kwanini mumefuta thread yangu? Itakuwapo Iwapo..... niliandika iwapo kikwete atakufa ghafla usingizini.......ilipotea haraka sana lakini ile ya Slaa na Mbowe kufa inapeta tu.....hii tunaita ni double std. Mngekuwa basi mnaweka sababu,,,,ubabe kama CCM ebo

  Alamsiki
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top