Recent content by orturoo

  1. orturoo

    IT wa HESLB hamko serious na kazi

    Mkimaliza chuo mtakutana Tena na iyo changamoto kule ajira portal
  2. orturoo

    Hivi kuna wanaofanyabiashara ya Umachinga wenye Degree pale Mbezi Mwisho?

    Kabla hata sijamaliza kusoma thread yako nakushauri maisha hayana degree iyo kofia ya degree uliyovaa ivue piga kazi hujangundua kuwa wasio na degree ndio wanamiliki maisha bila stress ,wewe na uliemaliza nae std 7 akachakarika na mishe badala ya elimu amekuzidi parefu sana
  3. orturoo

    Msaada: Naomba katuni ya kirikou

    Upo wapi
  4. orturoo

    Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

    Ndugu hizo ni athari za makundi na malezi uvutaji wa sigara sio wake pekeake wapo wengi nyuma yake Cha muhimu ongea nae kirafiki akueleze shida na changamoto anazopitia ,chunguza marafiki na tabia zake binafsi then mpe muda ajitathmini baada ya hapo mmbadilishie mazingira
  5. orturoo

    Sekeseke la mkataba wa Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa waarabu linaendelea. Je, Bunge limefuta Hansard za majadala wa kupitisha azimio kuunga mkono?

    Uliskia siku wamesema wameahirisha kisa kengele ya dharura imeashiria hatari ulipata akili kwamba walikuwa wanakwepa kitu gani!
  6. orturoo

    Zaidi ya watu 55 wahofiwa kufariki baada ya kuangukiwa na 'Kontena'

    May their souls rest in eternal peace
  7. orturoo

    Sheikh Mwaipopo amuonya Prof. Shivji, amwambia hajawahi kuunga mkono jambo lolote la Serikali toka enzi ya Mwalimu

    Kazi yako ni kutafuta watu kule Twitter then unakuja kupaste huku wewe una Nini ? Cha kukubali huu mkataba ambao utakujakutumaliza kwa fidia na madai ya Kila namna
  8. orturoo

    What a U.S.$500 Million Agreement Means for Tanzanian Ports

    Toa fact za busara acha kutukana
  9. orturoo

    Suala la DP World ni IQ Test kwa Watanzania, tumewajua vilaza na vipanga

    TPA wameshindwa kuona changamoto zilizotokea kwa miaka 30 ya TICTS,kwanini hawajasomesha wataalamu kutoka Tanzania walikuwa wamekaa tuu Leo tuu wanaropoka kuwa ushirikiano Hauna shida Ili kulinda nafasi zao
  10. orturoo

    Vijana tutumie hela kwa nidhamu, maisha ni magumu

    Ni yako endelea kuvuna alafu utushauri zaidi
  11. orturoo

    Vijana tutumie hela kwa nidhamu, maisha ni magumu

    Naona Umeanza kufanya internship au ni scholarship kwa iyo shamba!
  12. orturoo

    Ndugu zangu kuweni makini mnapokunywa vilevi na marafiki zenu

    Broo ukiwa bar ukipata haja (iwe ndogo au kubwa) enda na bia yako
  13. orturoo

    Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    HIZI NI KESI 20 ZA DP WORLD AMBAZO HAZIJAISHA NA ZINAENDELEA DUNIAN KWA UTAPELI WAO Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing...
Back
Top Bottom