Sasa mtoa mada ungepewa nafasi ya kutoa tuzo bado ungewapa hao unaowaona wanastahili na JK angekulaumu kuwa umewaacha wale aliowaona yeye wanastahili... tatizo litabaki palepale vinginenyo ni kujirekebisha mitazamo ya nafsi zetu, tusiwe wa kulaumu saana... kila kitu tunalaumu!!!!!!!!
Kuna haja ya kuwa serious kidogo na kuacha kupost upuuzi upuuzi kama huu. ni upuuzi mrindimo wa fataki kuita bomu. kama ulikuwa na lengo la jokes ungepost kwenye jukwaa lake
Kwanza wazo linaanza, ukiwa na wazo la biashara ni muhimu kabla ya kuandika BP fanya ka-utafiti kidogo ili kukazia wazo lako ama kidhungu wanasema 'feasibility analysis'. takwimu utazopata kutokana na ka-utafiti ndio utatumia kuandaa BP ambayo nato utaitumia kama road map katika kuanzisha...
Unajua hili tatizo la kujiajiri lilianzia pale Azimio la arusha lilipoanza. iliaminika kuanzisha private entreprise ni ubepari. sasa pamoja na kwamba sera zimebadilika lakini mind set zetu bado hazijabadirika, si za waanzishaji tu bali hata za wale wanaotakiwa kuratibu (Serikali). utashangaa...
Nawaza Tanzania ijayo na hatma ya watoto wetu... Kama nimefanya kazi zaidi ya miaka 20 sasa bado sijaweza kuanzisha chochote cha kutoa ajira kwa hata watanzania 2 itakuwaje kwa yule anamaliza shule/chuo sasa? Hivi, si kila mmoja wetu ana wajibu wa kuchangia kupunguza tatizo la ajira? mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.