Recent content by Just Distinctions

  1. Just Distinctions

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Kujisitiri nywele tu??? Au we nae kama kiande
  2. Just Distinctions

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    😂😂 hii nchi ina laana, yaani wanakosa kazi za kufanya wanaanza kuwinda mtu asiyevaa hijabu?? Atleast ingekuwa katembea Nusu uchi au bila vazi kweli
  3. Just Distinctions

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    Usiwe na fikra fupi, tofautisha kusimika mizizi na fikra za mtu mmoja au wawili na hata kadhaa kama sio wengi wasioutakia heri Muungano wetu Sijamaanisha TZ haijasimika mizizi, vinginevyo usingekuwepo mpaka leo ila wametuacha mbali katika eneo hilo kutokana na misingi waliyoiweka tokea...
  4. Just Distinctions

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Pengine ni mji wa amani😂, anyway Vatican pia ni kitaa kwa hiyo fresh tu
  5. Just Distinctions

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    Yes ni kweli, tunaona masuala ambayo Texas wameleta na baadhi ya majimbo kutaka kujitenga lakini wenzetu wamesimika mizizi imara tofauti na sisi
  6. Just Distinctions

    Kama uko Dodoma na huna ajira njoo nikufundishe udalali

    Safi sana kwa kutoa fursa kwa wenzako, na pia namba yako naisave siku nikiwa nahitaji kitu chochote kati ya tajwa hapo juu Ntakucheki tufanye jambo
  7. Just Distinctions

    Nini kinakuongoza kuzipenda ama kuzichukia Marekani na Israel?

    Israel - nawapendea Imani, ni bora mara elfu miji mitakatifu na ya kihistoria ya biblia ya kale iwe chini yao kuliko wengine Nisichowapendea - kuacha wavamizi waendelee kuranda kwenye miji mitakatifu Marekani - nawapendea unyamwezi
  8. Just Distinctions

    Kwanini madhehebu mengi ya kikristo tunafumba macho wakati wa kusali?

    Lakini pia kuijua imani huendana na kushiriki katika ibada na mafundisho ya dini
  9. Just Distinctions

    Kwanini madhehebu mengi ya kikristo tunafumba macho wakati wa kusali?

    Ni suala la imani kuwa unapofumba macho hisia na fikra zako zote unazielekeza kwa muumba wako Hiyo ni sambamba na kupiga magoti wakati wa maombi ni ishara ya unyenyekevu na heshima Haimaanishi ya kuwa ukisimama, ukikaa sivyo, ila ni kuupa uzito maombi yako Mengine wataalamu wa theolojia wataeleza
  10. Just Distinctions

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Amini kwamba zinakuja, kuna kipindi nilikuwa nasoma huu uzi na kuona kama ndoto kutokana na kupiga usaili kadhaa lakini bado kila mkeka ukitoka chenga, nikasema huwezi jua pengine siku yangu itakuja Siku hiyo nilishangaa tu missed call nyingi na meseji za hongera, nikahisi kama utani Katika...
  11. Just Distinctions

    CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Kabla ya kutoa hela zako zote huko unapotaka kwenda fanya udadisi ujue je kuna uafadhali??? Isije ikawa unaruka mkojo halafu unakanyaga m*vi
  12. Just Distinctions

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Bureau ngapi zilifilisiwa??? yaani unasema Bureau zote zilifungwa na mitaji yake kuchukuliwa??? Nafikiri unachanganya mafaili
  13. Just Distinctions

    Nimetuma pesa kwa Wakala asiyestahili, naombeni msaada wa jinsi ya kumfikia

    Kwa hela kama hizo jitahidi uende physically huduma kwa wateja katika tawi au wakala mkubwa aliye karibu nawe ikiwa umejaribu tu kusolve tatizo kupitia kupiga simu Wafanyabiashara wengi wameshatapeliwa na wateja wasio waaminifu ambao wanalipia halafu wakipata bidhaa wanasema wamekosea muamala...
  14. Just Distinctions

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Kusingiziwa huwa kupo na hatuombei kutokee, lakini hakuna kitu kibaya kama kujichanganya mwenyewe afu udakwe na ushahidi juu Hapo hata kama ulijisahau tu hakuna rangi utakayoacha kuona na mbaya zaidi kama mtu alikuwa anakutafutia rada kitambo tu afu umeingia kwenye kumi na nane zake
  15. Just Distinctions

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Usiwe kama unajisahaulisha, ni bureau zipi zilifanyiwa hayo ukiachana na Arusha??? Kuambiwa kuwa kila wakibadili fedha (kiasi kikubwa) mteja aache taarifa zake (utambulisho) kulikuwa na jambo gani baya kiusalama ?? Bureau inazungusha mamilioni ya pesa kwa siku halafu kwenye taarifa zake...
Back
Top Bottom