Recent content by Msomi_wa_bongo2

  1. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu vipi na hii scale ya PUSS 4, inaanzia sh. ngapi ?
  2. M

    HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

    Tayari mfano huo hapo chini wa aliepata mkopo login and refresh page
  3. M

    HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

    Kwa wale walioomba mkopo wa elimu ya juu (HESLB) - 2021/22 tembelea account yako chap
  4. M

    Vyeti UDSM hutoka baada ya muda gani baada ya mahafali?

    watu tushaomba tunaenda kuchukua mzigo kesho transcript & cheti. kama umemaliza mwaka huu changamka mzigo ushafika TZ from UK (cheti)
  5. M

    Waliopata div two ya 11 na ya 12 wakakosa vyuo, lazima TCU ijitafakari

    Vijana wanatakiwa wapewe elimu ya uchaguzi sahihi pindi wakiwa shuleni(A-level),yani mtu anaona kuna course inahitaji watu wachache na ipo kwenye chuo pendwa mfano UDSM,SUA,DIT na vingine vingi alafu ufaulu wako ni mdogo alafu unaomba na kuweka 100% kwamba utapata yani jua kua unacheza bahati...
  6. M

    Molecular biology & Biotechnology

    Mojawapo ni Tanzania Bureau of Standard (TBS),tena nimeona wametangaza nafasi za kazi(tar 28/09/2018) utumishi.
  7. M

    Uchukuaji wa Transcript Udsm

    naomba kujuzwa ivi transcripts za mwaka huu 2018 kwa udsm tayari?
  8. M

    QUALIFICATION AND EXPERIENCE

    Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma July 22, 2014 · MASWALI NA MAJIBU YA HOJA MBALIMBALI ZA WADAU Awali ya yote Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inapenda kuwashukuru wadau wote waliotuandikia maoni pamoja na kuuliza maswali mbalimbali kwa kipindi chote cha mwezi Mei hadi...
  9. M

    University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

    wakuu unaweza kupata final academic transcript kwa sasa kwale waliomaliza masomo mwaka huu(2018). matokeo tayari,na ukiwa umeshafanya clearence but graduation bado hadi november 17th 2018
  10. M

    QUALIFICATION AND EXPERIENCE

    okay, kwa kawaida hua certificate wanatoa baada ya muda gani
  11. M

    QUALIFICATION AND EXPERIENCE

    naomba kujuzwa, kwenye ajira za utumishi unaweza kutumia academic trancsript tuu bila ya kua na certificate(bachelor dree) ? na maanisha kwa wale vijana waliomaliza masomo mwaka huu(2018) matokeo tayari ila certificate bado.
  12. M

    Mfumo wa ajira mtandaoni...(portal ajira)

    naomba kujuzwa, kwale ambao ndo wamemaliza masomo yao(2018) na cheti hawaja pata ila transcripts wamepewa wanaweza kuomba nafazi hizi?
  13. M

    Bachelor degree with Honours

    Yaweza kua ni kweli. Hata mimi kuna course nilii opt ambayo haikua kwenye option ya course zetu,na GPA ilikua inapanda na nilipata sup ila mwisho wa siku nikapata WITH HONOURS
Back
Top Bottom