Recent content by Officer2009

 1. Officer2009

  Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

  Asante sana mkuu. Kwa kweli mi nilinunua hii komputa bila kujua chochote. Je ninaweza kubadilisha processor, let's say i3 au 85 ili iwe na kasi kidogo? Mi matumizi yangu sio makubwa sana, unanisharije?
 2. Officer2009

  Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

  Asante sana Chief. Vipi kuhusu Intel (R) Celeron (R) CPU N2830 @2.16GHz 2.16GHz
 3. Officer2009

  Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

  Hili neno "Mzalendo" siku hizi lina maana tofauti; mzalendo kwa wana CCM ni mfia watawala, sio mfia nchi. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Officer2009

  Msaada Jamani

  Itakuwa na vielelezo gani vitakvyofanya nijue kuwa ilikuwa ni locked?
 5. Officer2009

  Msaada Jamani

  Cha ajabu kwenye simu nyingine inafanya kazi fresh kabisa wala haihitaji kuzimwa na kuwashwa,na pia nikiweka simcard nyingine kwenye hii simu inapiga kazi fresh bila kuhitaji kuzimwa na kuwashwa. Yaani tatizo lipo ninapoweka Halotel simcard kwenye hii j7
 6. Officer2009

  Msaada Jamani

  Naombeni msaada jamani. Tatizo hili ni kwa simcard ya Halotel tu. Nimeshajaribu ku format simu lakini wapi, nilienda hadi Halotel Mlimani City na makao makuu ila nao ni kama hawajui tatizo hili linasababishwa na nini.
 7. Officer2009

  Msaada Jamani

  Simu yangu ya Samsung galaxy J7 ina tatizo la kupoteza memory ya sim card; na hii ni kwa sim card ya Halotel tu. Nimeweka picha hapo chini
 8. Officer2009

  Niuzie pikipiki(Tvs 150cc)

  0767414458 Ukinipigia ukanikosa Nitumie tu msg, huku nilipo kuna shida ya network.
 9. Officer2009

  Niuzie pikipiki(Tvs 150cc)

  0767414458 Ukinipigia ukanikosa Nitumie tu msg, huku nilipo kuna shida ya network.
 10. Officer2009

  Niuzie pikipiki(Tvs 150cc)

  Wadau natafuta pikipiki used aina ya Tvs, cc150 au 125, ila napenda zaidi 150cc. Iwe kwenye hali nzuri sana na iwe haijawahi kufunguliwa engine.
 11. Officer2009

  Nililishwa chakula chenye sumu safarini, nilisafiri kwa mateso na kufika kwa mbinde sana

  [Bila shaka ulikula hoteli ya Liverpool, Mombo. Wasafiri wengi hawapendi hiyo hoteli coz wanauza sana viporo. Nimeshawahi kuwa victim wa food poisoning, hasa baada ya kula Liverpool. Nowadays basi likisimama hapo huwa sihangaiki kula chochote hapo. wasalaam! wanajamii wenzangu siku za hivi...
 12. Officer2009

  Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

  Tuwekee scientific facts, acha kuongozwa na hisia na empty rhetorics.
 13. Officer2009

  Hivi ni kwanini Cocacola inaendelea kutangazwa wakati hakuna wanachoongeza wala kupunguza kwenye soda hiyo?

  Usibishe, kuna utofauti. Maji ya Moshi ni mazuri zaidi, yanafanya Coca Cola ya Moshi iwe tamu zaidi. Pili, Coca Cola does not contain cocaine, it contains caffein, sawa na chai na kahawa.
 14. Officer2009

  Wapinzani acheni upotoshaji, watumishi wa serikali watapandishiwa mishahara

  Acha upotoshaji wa kijinga uliojaa upuuzi wa fikra za kijani. Ndio unautafita u dc hivi? Watumishi tunaishi kama mashetani, mkulu hana habari na apenda iwe hivyo. Tunamuombea Mungu apunguze chuki yake kwetu. Sijui tulimkosea nini?
 15. Officer2009

  Jiunge nasi kwenye biashara ya dagaa kutoka Musoma na mwanza utajirike haraka

  Mimi nipo Chalinze, nipe michakato, ni dagaa wasio na mchanga kama wale wa Bukoba au ni hawa full mchanga na kokoto?
Top Bottom