Kichwa kipo deep Kama pango/
My Life is fun liKe rango, but still nna mipango/
Naamini sir God atanifungulia milango/
Japo masnitch wanawish nishuke viwango/
Nile makombo, nikose pesa ya pango/
Ila bado sikai kinyonge mchizi na struggle, Nazidi saka tonge ado ado/
Hiki kichwa, kina mistari isiyohesabika/
Mziki ungekuwa vita, ningewaficha Kama Hitler/
Mpaka huku Mbabe nimefika/
So wabana pua, mbane mpak mbup kabisa/
longtime kwenye hizi Mambo/
Michano bila Tambo, na bado namwaga damu Kama Rambo/
Kuna washkaji wawili tulikuwa tunachimba nao mwaka jana....sasa juzi juzi hapo wamepiga milion 33 hivi navyoandika ni kwamba wamepotelea kusikojulikana
True upande wa flow kali big hana mpinzani.
Nazikubali sana hizi ngoma zake
B.I.G Poppa
Suicidal thoughts
warning
juicy
halafu kuna ngoma inaitwa longkiss goodnight dah hii ngoma ametema shit sana.
Hizi ngoma huzijui mkuu.
Gheto gospel
Ambition az ridah
Dear mama
Only god can judge me
Changes
Halafu mbona kama big ndio alikuwa anaimba nyimbo za disko sana
2pac hakuwahi kuwa mshenzi kama kina didy, na hakuwahi kuwaza kuwafanyia kisasi kina didy, aliamini karma itawalipa hata kwenye nyimbo ya ambition az a ridah ameongea kwa uchungu mno.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.