Recent content by Dindai

  1. Dindai

    Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Sparrow wanakiti moto tamu sana Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  2. Dindai

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kigoma Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  3. Dindai

    Ushauri kuhusu Mabati ya Taishan, Kinglion na Sunbank

    Miaka mitatu bado boma halijasogea hata kuweka grills tu. Aisee mkuu Komaa kutafuta hela! Miaka mitatu ni mingi mno!
  4. Dindai

    Bodaboda hawana Haki

    Baba mogani siku ukiendesha gari ndio utajuwa hawa jamaa ni washenzi kiasi gani. Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  5. Dindai

    Mchezo wa El- Mererkh VS Young African Kuchezwa Rwanda

    Kwa nauli tu laki inatosha. Geita to Rusumo 20K RUSUMO TO KIGALI 7K RWF 2.2 TZS = 1 RWAF Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  6. Dindai

    Kudrive umbali mrefu

    Shangazi amefariki? Lini tena? Nina miaka kadhaa sijapita kwa Shangazi Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  7. Dindai

    Roho inaniuma sana, mabati niliyoezekea nyumba yangu yamepauka sana

    Jirani yangu alipaua mwaka Jana mwezi Mei kwa mabati yenu kinglion rangi ya charcoal Grey. Hivi tunavyozungumza bati imekuwa nyeupeeee. So kinglion ni hovyo tu ndugu yangu. Tena hovyo kabisa. Hii nimejionea mwenyewe kwa macho yangu. Hovyoooo!
  8. Dindai

    Romantile vs Versatile: Design ipi ungependelea kuweka?

    Nikipiga max cover kwenye ka mjengo Kangu sababu ya uchumi. Ila kama uchumi uko vizuri, vesertile inapendeza zaidi. Kama uko vizuri weka vesertile ya mchanga mchanga Achana na romantile Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  9. Dindai

    Umewahi kupata Hasara gani kutokana na Fundi Ujenzi kukosea makadirio ya Vifaa?

    Yeah alipiga hesabu bati 177 mwisho wa siku zikatumika bati 155. Zikabaki bati 22 na kila bati nilinunua 37,000/= Shilling laki nane wakanitia hasara ambayo walau ningechonga hata ma grill.
  10. Dindai

    Nyie wachora ramani waongo sana

    Unataka kujenga kighorofa kwa tufari 1100 kweli? [emoji23] Sent from my vivo 1938 using JamiiForums mobile app
  11. Dindai

    Boma lako lilikugharimu bei gani/ kiasi cha pesa?

    Vyumba vitatu Kati yake self mbili, stoo, jiko, dining, sitting room na public toilet
  12. Dindai

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Wewe ndo mshamba kwa kuona uchaguzi wa wenzako wa kishamba wako ndo bora zaidi. Wewe kama unapenda ndogo ni wewe. Waache wanaopenda kubwa wafanye wakipendacho.
Back
Top Bottom