Umesema vizuri. Gari kukosa matairi ni issue kubwa..ndiyo ubovu wenyewe huo. Kama halmashauri haina pesa za kununulia hayo matairi asemeje sasa. Jamaa mchonganishi sana.
Mkuu hapo hakuna faida..ni uzandiki tuu wa miafrika. Ni aibu kungangania vitu visivyokuwa na maana na kuacha kufanya vitu vya maana. Mwenge ni kati vitu vya kipuuzi ambavyo serikali hii ya ccm inavitumia kuwaibia watanzania, ni miradi ya wanaccm. Bahati mbaya hata wananchi wenyewe hawafahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.