Recent content by likongobhe

  1. L

    Kwa sasa kipindi cha mahojiano cha kusikiliza ni Power Breakfast cha Clouds FM

    kwa kweli wamekitendea haki kipindi maana walikua wanagonga spana mpaka basi sina uhakika kama safari ijayo mwakilishi wa mamlaka ataenda kama alivyoenda leo..
  2. L

    Msaada wa Kimawazo: Nina degree moja lakini haina soko, nahitaji kusoma degree nyingine

    Kiongozi umeniangusha aisee ingawa sishangai sana, IT wengi wanafanya vitu vya kawaida wanakata tamaa, tenga muda wako jifunze vitu kadhaa hasa computer programming chagua language mojawapo ya kuanza nayo inaweza kuwa python, php, javascript na zinginezo, mobile app jifunze java na zile zingine...
  3. L

    Kwa wanamazoezi ya kukimbia pembezoni mwa barabara tukutane hapa tujadili jambo

    kwa wakazi walio jirani na viwanja (open space) vyema kutumia viwanja hivyo kufanya mazoezi, kwa wengine wa njia kuu na service road ni umakini zaidi unahitajika ila kuna swala moja huwa tunajisahau .. tunafanya mazoezi na headphones sauti iko juu mpaka usikivu na umakini unapotea tuwapo...
  4. L

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    kwenye hizi subwoofer za pesa ndogo kuna kile kisauti kinaanza "Bluetooth is connected successfully", "line in" "fm mode" je inawezekana kikazuiwa kabisa yaani iwe kimya kimya pia ianze na sauti ndogo ..?
  5. L

    Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

    tumia option ya pc as long as ni android ila kwa iphone wajuzi watakuja
  6. L

    Nawezaje kubadili simu yangu bila kuathiri data zangu zote za WhatsApp na vyote toka simu ya awali?

    Kama ni mtumiaji wa android na simu yako ina memory card au una computer tafuta application inaitwa super backup utaweza kuhamisha kila kitu kwenye simu ya zamani weka backup kwenye memory card au computer yako. Kisha install application ya super backup kwenye simu mpya itakuomba ku restore...
  7. L

    Unakumbuka games gani kwenye kompyuta miaka ya 90s-2000s?

    Aisee kitambo sana unanunua redio inakuja na cd ya game 300 ila zimerudiwa ndani ina contra, mario na mengineyo imagine unaingia internet cafe sio kwa ajili ya kutumia internet ni ile tu ucheze need for speed, road rush zile ngumi za mwendesha piki piki aisee .. Ford Indigo itabaki kuwa gari ya...
  8. L

    Tatizo la Burnt backlight kwe flat Tv

    ingependeza sana kama mngeshare hizo brand za tv ili wengine twende kwa tahadhari zaidi ingawa utatuzi wa tatizo ni kama waja walivyoshare hapo juu
  9. L

    Mwendokasi UDART mmefeli

    Kwanini tusubiri mtu kupiga simu? Hatuwezi kufahamu maslahi husika ya waliopo kituoni (wasimamizi) ingawa ni changamoto kwa watendaji kuogopa uwazi kuna haja ya kuongeza/kubadili kipengele cha mwisho wa safari kwenye stakabadhi mnaona kabisa kwamba watu wa kivukoni mpaka sasa wapo 300 kituo cha...
  10. L

    Changamoto wanazopitia vijana wetu mpaka wanakuja na kampeni za kataa ndoa

    Sitaweza kuchangia sehemu zote ila suala la ukakamavu kwa vijana ni tatizo, hata vyakula tunavyotumia ni changamoto .. tunabaki kupiga kelele ugumu wa maisha na vitu vingine lakini gharama tunazotumia kwenye vyakula vya usasa ni changamoto ..athari zake zinaweza zisionekane muda huu ila kuna...
  11. L

    Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    Umuhimu wa yeye kupitia hii kozi ni walau apate mwanga mathalani unatengeneza mfumo wa mikopo, usimamizi wa fedha nk inapunguza uhusishwaji wa kiwango kikubwa wa watu wa fani hizo .. ingawa watahusika kwa namna moja au nyingine.. changamoto kubwa ni wakati gani wanasoma.. mfano mfumo...
  12. L

    🚨Shikamoo Mpemba

    Kwa kweli uwasilishaji wa aina hii kwa biashara au tangazo ni balaa mwamba umetisha .. mada ilipofichwa pametulia sana.. kongole kwako mkuu
  13. L

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO eneo la saranga centre kimara temboni zaidi ya nyumba ishirini hazina umeme.. taarifa ziwafikie popote mlipo..
  14. L

    Vijitabia vipi "unique" ambavyo ukivifanya vinakupa amani moyoni na "relaxation" ?

    1. Kutembelea eneo kama mlimani city wale watu naowaona pale huwa najipa hope kwamba ipo siku soon na mimi ntatoboa ni suala la kukaza tu 2. Kusikiliza ala hasa za piano, guitar, violin, trumpet nk zile huwa huwa zinahamisha kabisa akili 3. Kwenda eneo la umma hasa sokoni kuona hustling za...
  15. L

    Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Kufulia kunaleta akili ya ziada, kuna zile hela huwa zinaanguka chini ya kitanda hasa sarafu 100, 200 au 500 sasa ukitaka kujua thamani yake siku ufulie mazima huwa zinatafutwa kila kona ya chumba.. unapitia nguo moja moja kujua kama kuna akiba yoyote hapo orodha ya watu wa kukusaidia inazidi...
Back
Top Bottom