Recent content by Mrs Gudman

  1. Mrs Gudman

    Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

    Siupendia siupendi
  2. Mrs Gudman

    Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Tayati mkuu mimi imeingia muda huu huu
  3. Mrs Gudman

    Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Mungu wangu nilikuwa nabisha nimeangalia sms hakuna hata cent moja iliyoongezwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Mrs Gudman

    Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah
  5. Mrs Gudman

    Utumishi wanaposema MDS and local Government wana maana gani?

    LGA's Local Government Athorities (Serikali za mitaa,, kwa maana ya Halmashauri za Miji, majiji na Wilaya) MDA:Ni mashirika ya Umma Tanesco, TPA, TRA, NHIF etc
  6. Mrs Gudman

    Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Una 1.3 take home, una maanisha milion na laki tatu au laki na thelasini?
  7. Mrs Gudman

    Makamba anapewa nguvu na huyu Muhindi aje aifanyie nini Tanzania?

    Mimi sio muumini wa ubaguzi wa Rangi, kabila wara elimu na vingine vingi. Nimeishia hapo
  8. Mrs Gudman

    USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwa kifupi ulikurupuka maji yamefika shingoni sasa unajutia Pole Si rahisi kurudi kazini tena labda kama hukuwa na chek namba Pambana huko ambako kipato ni kikubwa
  9. Mrs Gudman

    Mtandao wa WhatsApp haupatikani hewani kwa muda

    Kwa hiyo wewe ni magrup ya ccm tu upo
  10. Mrs Gudman

    Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?

    Niliwahi kuandika https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1490939/
  11. Mrs Gudman

    Sijapenda hii sare, lakini Mgunda apewe mkataba haraka

    Yanga Hongereni kw sare
Back
Top Bottom