Recent content by Boutafrica

  1. B

    Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    Nauliza hv: 1:Hzo meseji Kule kwa Wateja wangu inatokea namba yangu ya simu Au Kuna code maalum? 2:Kwa mfano mm naishi Tanga hzo msg nikitaka ziende kwa watu 50000 wa Tanga tu Lakini namba zao sina je nitapata wapi namba za hao watu wa Tanga tu?
  2. B

    Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Benchikha anacheza namb ngapi?
  3. B

    Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Mancity vs QPR 2012...Mancity anachkua ubingwa baada ya miaka kadhaa magoli yakiwekwa kimyani Na Aguero Huku upande wa pili man u dhidi ya sunderland ameshinda anamsikilizia Mancity apigwe Au atoe sare man u anyangue kwapa. Dakika ya 85 channel ya canal sport wanaikata screen katikati kuonyesha...
  4. B

    Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

    Kwa sisi waislam tuafundishwa Mungu ameiweka Furaha sehemu mbili tu. 1:Kumtaja sana Mungu/kuabudu 2:Kuwa na mwanamke mzuri na MWEMA/MCHAMUNGU Furaha imefichwa sehemu hzo mbili,na hii ni kweli.
  5. B

    Kama ana 7 kati ya haya 10. Oa tu mkuu, hakuna tatizo

    Nyie wa "kataa ndoa" tumewashtukia ni mahanithi
  6. B

    Tatizo la Simu Redmi Note 10 Pro Kupata Joto, Battery kuisha chaji haraka

    Hizo simu hazina shida Kabisa Labda imekuwa bahati mbaya tu kwako.
  7. B

    Vielelezo vya makala na picha kuelimishana kuwa dini za kikoloni siyo za Waafrika tena!

    Hata mseme nn hatuachi kuabudu Mungu aliyetuumba,wewe kma unaona ni upuuzi umekuja Na meli ni Sawa ila tu mkumbuke kufa utakufa Na utaenda kueleza hzo Akili za kuabudu mizimu Na mawe ulizipata wapi?
  8. B

    Vielelezo vya makala na picha kuelimishana kuwa dini za kikoloni siyo za Waafrika tena!

    Yan shida yenu mturudishe Kwenye upuuzi wenu wa kuabudu mawe,miti Na mizimu?...Huu ni ujuha wa hali ya juu,hebu tuache Huu upuuzi. Tunajua kwamba hii yote ni kutaka kujifariji kuaminisha watu kwamba Mungu hayupo ili uwe huru. Yan ni hivi, Mungu yupo Kifo kipo Siku ya hukumu ipo Pepo Na moto...
  9. B

    Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

    Kabisa mkuu...yan watu wa Hivi wana unafiki wa hali ya juu,hv kma ni kweli jamaa alikuwa anatumikia jeshi la wazayuni hv atakuwa ameuA waoalestina wangapi? Hv wale palestines ni mawe? Watu wamekaza tu "mtanzania mwenzetu" unafiki mkubwa
  10. B

    Mwanamke wa 4 adai alibakwa na Diddy wakati akiwa na miaka 17

    Huyo mama Huo ushahidi anautoa wapi Na kashazeeka sasa?
  11. B

    Kwa waliosoma kitabu cha The Secret, yale mambo uķiapply yanatokea kweli?

    The power ndo kiboko ila inatakiwa utumie akili kubwa kukisoma maana kuna mahali kinakutoa kweny imani ya kuamini Mungu muumbaji. Me kimenishinda pale kweny kushika jiwe kila usiku kabla kulala...kiufup kinasisitiza sn mtu kutoa shukran ila hakisemi kwamba hzo shukran uzipeleke kwa Mungu...
  12. B

    Mbinu na njia sahihi za kupata wateja wapya (leads) kwenye biashara yako

    Kwa Tz hiyo ngumu sana,watu wana roho mbaya mnoo hawataki wakuone unasogea
  13. B

    Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

    Tufanye sana ibada ndg zangu,hii Dunia inakaribia kumalizika,tupo dakika za mwisho kabisa....
Back
Top Bottom