Recent content by nkosiyamakosini

  1. N

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    hivi we ni mzalendo kweli? muungano ni wa nchi wala sio CCM, hasara itakuwa pande zote za muungano, uligwa bhebhe CHADEMA? thanks
  2. N

    Nilikua siijui jamii Forums

    utauona tu uchokozi, we tulia tu! kila kibaya kila kizuri kina ubaya wake, thanks
  3. N

    Rostam Aziz kufanywa kama Daudi Balali?

    sivyema kuondoka rostam aziz, yafanyike mambo mema tu kwa ajili ya tanzania, tatizo sio RA tatizo watanzania hawapendi kufikiria kitu kinachotufanya tuwe tunalalamika tu kama wagalatia. thanks
  4. N

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    hii ya mukama naona kama imekaa kiwivu zaid! thanks
  5. N

    Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

    vibaya jamani hvyo, thanks
  6. N

    Speech ya Mohamed Shamte UN hii hapa

    no, ilikuwa ukoloni mamboleo, shamte alikuwa kivuli ndio maana hatumtambui kama shujaa. mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii .................................? thanks
  7. N

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    hatari, kwani si walikua hawaandamani ila wanafanya tu mkutano kama wa injili? au walikaidi? thanks
  8. N

    Ya RZ1 na Beno na Malisa na shigella ni maandalizi ya Urais 2015

    mbona hujajitaja mwenyewe kuwa rais, kama unajiona huwezi waachie wawezao, porojo za nini? thanks
  9. N

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    hakuna maandamano wana jf arusha, kuna mkutano wa hadhara tu pale viwanja vya nmc unga ltd. thanks
  10. N

    Baba wa taifa wa zanzibar huyu hapa na siyo karume

    baba yako mwenyewe alikuwa anagonganisha mambwa tu akiwa tumbo wazi, sasa we mwanae unamlaumu nyerere tu wakati hujui lolote? better keep quiet, baba wa taifa la zanzibar ni a.a. karume, period. thanks
  11. N

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Kijana anajitahidi, kwa kuwa atahamia ccm kabla ya 2015, obviously atagombea kinondoni kwa tiketi ya ccm. thanks
  12. N

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Certainly, Ni halali kuitwa waziri mkuu mstaafu na kupewa haki zote kwa mujibu wa katiba ya tanzania! YES, absolutely relevant! thanks
  13. N

    Chadema yaandaa maandamano kupinga bei mpya ya umeme

    Big up kishongo, nimefurahi sana kusikia sauti ya ukweli, in short, 'uhuru kwako unamaanisha kuongea' thanks
Back
Top Bottom