Recent content by njamayo

  1. njamayo

    Yupo Kiongozi wa Chadema ananisumbua kutaka nisajiliwe! Nasema achana na mimi gharama yangu ni sawa na beki kisiki Lamine Moro!

    Pole sana dada Labds anafagilia sana hilo nyomi lako la nyuma na hiyo mihipsi. Ongea vizuri waweza lamba bingo.
  2. njamayo

    Rais Magufuli kwa hakika alindwe sana tayari wabaya wake wako hadharani

    Tatizo liko api dada m2020? Mbona ana ulinzi wa kutosha? punguza uoga
  3. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    LUTINDI ndo wapi huko? maelezo please.
  4. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    ndo ilikuwaje hiyo dozi? uliipata wapi/ hebu tirilika basi..
  5. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    Anaendelea na matibabu tu ila wanasema ni ya muda mrefu
  6. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    yaah ni depression kabisa hata yeye anakili hilo
  7. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    Ni kweli. huyu jamaa alipata depression baada ya msiba wa mama yake, ngawa anasema kwa sasa haimsumbui tena
  8. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    eeh.. tumeshampeleka MNH
  9. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    Hii hali inatokea tu yenyewe, anaweza kuwa amekaa, anatembea ikatokea. hakuna chocote kinachotangulia.
  10. njamayo

    Ugonjwa wa Akili: Kuona MapichaPicha

    Habari wana JF, Nimekutana na hiki kisa kwa mtu anayelalamika ana tatizo la akili. Yeye anasema kuna kipindi anaona mapichapicha ambayo hayaelewielewi. Yanatokea kwa kipindi kifupi tu cha sekunde chache haafu yanapotea na anakuwa kawaida. yuko vizuri tu na huwezi kuzania ana hilo tatizo. Hebu...
  11. njamayo

    Msaada wa Haraka Tafadhali: Ungonjwa wa akili

    Asante saana Mkuu, Mungu mwena, litapita tu. asnate
  12. njamayo

    Msaada wa Haraka Tafadhali: Ungonjwa wa akili

    Tuko ki-IMANI zaidi. Tunajua litapita. Hata maombi anafanyiwa. Asante Sky Eclat,
  13. njamayo

    Msaada wa Haraka Tafadhali: Ungonjwa wa akili

    nimekupata Alex The Great, Dogo alifiwa na mama, sasa hakuweza kuvumilia hii issue. ilimwendesha saana. Ni sahihi kabisa, ushauri wako naufanyia kazi.. naamini kuwa watu ndo wana majibu ya hili, hata Mungu anatumia watu. Nalichukulian kwa uzito mkubwa. Mshana Jr naomba tuwasiliane ukiiona hii...
  14. njamayo

    Msaada wa Haraka Tafadhali: Ungonjwa wa akili

    mimi hata sijui. wanaojua watatuambia. tuvute subira
  15. njamayo

    Msaada wa Haraka Tafadhali: Ungonjwa wa akili

    tuna IMANI kubwa mno kuwa dogo atapata uponyaji tu.
Back
Top Bottom