Recent content by Afyayaakili

  1. Afyayaakili

    Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Usukumani hutapata mke aisee,kila Familia ina mganga wake.
  2. Afyayaakili

    Utajuaje kama alishawahi toa mimba mfululizo kabla ya kumuoa?

    Hii ishu iko serious ziku za karibuni, kuna Couple kama mbili za ndoa kabisa zinateseka sana. Couple ya kwanza wana miaka 9 bila bila na hii ya Couple ya pili wana miaka 5 nayo bila bila hakuna mtoto, mpaka jamaa namuonaga ana stress sana ishu ndogo tuu anaweza akakupandishia mpaka ukaona jamaa...
  3. Afyayaakili

    Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

    Wanawake wa Kisukuma mixer Mnyantuzu wanapigwa Chale aka Eleven mwili mzima hao, washirikina hatare halafu wao sasa wako comfortable na ushirikina kama Mdigo na Baiskeli.
  4. Afyayaakili

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Kitaa tunawaita watoto 2000s hawakamatiki hao, wapo kasi sana.
  5. Afyayaakili

    Watanzania tuamke, viongozi wanatudharau

    Mlimkataa HASHIM RUNGWE SPUNDA, Mzee wa wali oneni sasa Wamarekani wanawasaidia.
  6. Afyayaakili

    Wapenzi wa Movies: Nani mkali kati ya Samuel Jackson na Denzel Washington?

    Unamuonea S.J kumuweka daraja Moja na Denzel
  7. Afyayaakili

    Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

    Doh Huyu mdudu wa mzungu noma sana aiseee
  8. Afyayaakili

    Ukigundua shemeji yako (mume wa dada yako) anatoka kimapenzi na rafiki yako wa kike utafanyaje?

    Angalia wewe na dada Ako msije poteza marafiki zenu, wakaungana na kuwa pamoja na kuwaacha wewe na dada Ako mkitoa macho.
  9. Afyayaakili

    Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

    Mapenzi Si kulima Vanilla au kucheza na mpira.
  10. Afyayaakili

    Watanzania wenzangu mnaoishi mipakani, bodaboda na madereva naombeni muwe Wazalendo msiwaingize wahamiaji haramu nchini kwetu

    Hao Wasomali na waethiopia ni ndugu zetu Waafrika, wako katika harakati za kuikimbia njaa na majanga mengine wanatafuta fursa za malisho ya kijani tuu.
Back
Top Bottom