Recent content by Ngoiva Lewanga

 1. N

  Kikwete VC mpya UDSM

  Rule of Man against Rule of Law.
 2. N

  Diwani wa CCM Arusha kuhamia CDM imekaaje?

  mkuu vp, mbona hamuendi peripheral areas kufungua matawi? mfano kata ya Terat, chadema bado sana.
 3. N

  Madaktari Walio Katika Mafunzo MNH Wapewa Barua ya Kufukuzwa Kazi

  wanalipwa 80 per cent ya mshahara wa daktari.
 4. N

  Diwani wa CCM Arusha kuhamia CDM imekaaje?

  Mwalimu Mawazo hajawahi kuwa chadema, alikuwa diwani kupitia TLP akajiuzulu kaenda ccm kawa diwani 2005 hadi leo. Ila kakiri kuwa anakubali sera za chadema, tatizo anatamaa ya shilingi.
 5. N

  Kijana apiga mbizi kutekeleza agizo la Magufuli!

  hii kweli na si dharau. Wengine wamefali drs la saba, f4 na f6. Rafiki zangu wengi walio feli wako polisi, wakuu wa idara mbalimbali.
 6. N

  Lema azidiwa ghafla, alazwa Selian Arusha

  eti? Unamaana gani!
 7. N

  Nishati ya kutumia majumbani

  Tumia kuni, magunzi, au kinyesi cha ng'ombe.
 8. N

  Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

  fanyeni mpango wa kurusha live.
 9. N

  Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

  Mkuu Shibuda hana sifa ya kufukuzwa kwa sababu hajapewa CHEO/UONGOZI katika chama.Wanaofukuzwa ni wenye vyeo ndani ya chama.
 10. N

  Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

  kumbe katika chama cha siasa ukisema ukweli juu ya mkubwa wako huna chama. Kafulila kamkosoa mbatia kapata kibano naye Hamad Rashid kamkosoa maalim Seif kapata kibano. Watakaofuata ni LOWASA na ZITTO. Mchakato unaendelea wanajamvi.
 11. N

  Taasisi Ipi inaogozwa na Mama Obama kule US na Ipi Iliongozwa na Mama M. Nyerere?

  mrs. Obama anaujasiri sana, isitoshe ni mwanasheria.
 12. N

  Ismail Jussa amtukana Sitta, Nyerere na wa Tz Bara!

  Bungeni Lissu alitukanwa na kukashifiwa na wabunge wa Bara na Zanzibar kisa kazungumzia aina ya muungano tunayoitaka. Sasa ukweli unaanza kujithihirisha.
 13. N

  2012: Arusha tutaendelea kuwa majasiri wa kupinga uonevu - Godbless Lema (MB)

  dogo acha unafiki. Mbona tz tunapokea misaada toka uingereza na marekani, unataka kusemaje au kile kiwanja ulichorubuni maeneo ya BURKA kinakuwasha.
 14. N

  2012: Arusha tutaendelea kuwa majasiri wa kupinga uonevu - Godbless Lema (MB)

  eneo la kaloleni limeuzwa kwa wale wanaojiita WAWEKEZAJ wala sio maendeleo. Nje ya jiji maeneo kama lemara, uswahilini, sinoni, sokon, engosengiu, muriet, murumbo, mkonoo, nadosoito, terat, njiro nk. Maeneo ya jiji la Arusha maeneo mengi yako wazi mengine ni mashamba tena hayalimwi kabisa. Ndo...
 15. N

  2012: Arusha tutaendelea kuwa majasiri wa kupinga uonevu - Godbless Lema (MB)

  ccm wamekataa kuachia stendi ya mabasi na maeneo mengine ya wazi. Machinga complex itajengwa maeneo ya njiro kontena.
Top Bottom