Recent content by DADA MWAJUMA

  1. DADA MWAJUMA

    Baby sitter services

    Wooh kazi nzuri sana hio nimeipenda Keep it up Kikubwa uaminifu wa hali ya juu sana na naamini kama una maono baadae itakuwa kampuni kubwa sana.
  2. DADA MWAJUMA

    WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Ajabu ni kuwa hata watu wazima wana act kama watoto wadogo Tubadilike kwa faida ya jamii na hadhi mtandao wetu Mtu Ana comment kwa lengo la kupata sifa hajui kama kuna muda Ana umiza hisia za mtoa mada husika.
  3. DADA MWAJUMA

    Msaada: Naondoaje uraibu wa kusikiliza muziki?

    Hahahah dah ila jf huwezi kufa kwa stress kabisa.
  4. DADA MWAJUMA

    Ni bora nisingemjua Mama yangu

    Umeongea kitu kikubwa sana sana na kimenigusa mno naamini una experience katika hili..... Ukweli ndio huo mtoa mada azingatie hapa
  5. DADA MWAJUMA

    Je utumwa ilikua mipango ya Mungu ana ilitokea bahati mbaya?

    Kwa mujibu wa maandiko tuliyofundishwa na kuaminishwa toka utoto jibu ni ndio utumwa ulikuwa mpango wa Mungu bila kupepesa maho ila kwakua pia tunapenda kunena mema katika maandiko na imani za Mungu hili swala litafumbwa fumbwa na kupambwa kwa maneno mazuri ili kuonekana Mungu hakuhusika.
  6. DADA MWAJUMA

    Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walah JF raha sana
  7. DADA MWAJUMA

    Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    Sitaki nchi za kiarabu [emoji16]
  8. DADA MWAJUMA

    Ninatamani kutoka katika nchi hii ya Tanzania

    Nyuzi zote ninazo za humu kuhusu haya mambo mkuu nafatilia kila nukta
Back
Top Bottom