new fighter jets???? to battress their millitary superiority againt Joseph Koni's makeshift NRA army? OR he has receaved a devine revelation that after Ghadaff the next target is M7? to end his incumbency!
The battle for Libya is yet another demonstrations of the double-standards of western regimes, who are awash with the lust of resources found in poor nations. Their real motives are far from defending innocent people of Libya from being burchered by forces royal to Ghadaffi, but they are being...
Habari kutoka Tarime linasema sasa hivi mji mzima ni chereko chereko tupu na maandamano baada ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza ushindi wa nguvu kwa CHADEMA baada ya wagombea wake wa ubunge na udiwan kuibuka kidedea.
Katika nafasi ya ubunge Chadema imeshinda kwa kura takribani 35,000 dhidi...
Nashangaa unafiki wa baadhi ya Watanzania. nchi km Uganda ambayo ina waislamu kiduchu imekubali kujiunga na OIC ili kuwanufaisha waislamu wananchi wachache wafaidike na manufaa kutoka taasisi hiyo, na hakuna hasara waipatayo kama nchi. Lakini hapa kwetu misaada ya kidini na kimaendeleo kutoka...
NI aibu na fedheha km wanajeshi watakubali aibu hii ya kusafiri kwa dezo ktk magari ya abiria ya kiraia, wakati hata wenye ulemavu wa kupindukia, watoto wadogo na wa shule, pamoja na maiti wanasafirishwa kwa malipo. Kila mfanyakazi kwa nafasi yake ni muhimu sana..kwani kada yoyote ikikosekana...
Kadhia hiyo inahitaji uthibitisho ili isiwe watu wanavumisha kwa ajili ya maslahi ama chuki binafsi. Jana niliona taarifa ya habari ITV ikionyesha mapokezi ya watoto 20 waliopelekwa india kufanyiwa upasuaji wa moyo wakirudi salama baada ya operesheni zao kuwa za mafanikio. aidha wazazi na...
Sina uthibitisho lakini kinachosemwa ni kuwa kutokana na ujasiri wake katika kuwatumikia watu hususan wa hali ya chini bila ya woga, Sokoinealijijengea umaarufu mkubwa na alionekana ni mkombozi wa wanyonge na mtetezi makini wa maslahi ya taifa.
Jambo hilo liliwakera vigogo waasisi wa nchi...
Nakumbuka nilikuwa katika jengo la Haidery Plaza eneo la Posta Mpya. Ule mlipuko ulisababisha mtikisiko mkubwa katika jengo hilo, na hata kuhisi upepo ukipita kwa kasi kubwa, jambo lililowaanya watu waliokuwa ghorofani kuchungulia nje kwa mshangao kupitia madirishani
Kosa limeshatendeka na ni kosa kubwa kwa mila za kiafrika. Kwa hatua iliyofikia ni Bora ukakaa kimyaa, ila mwangukie mungu wako anayejua kila kitu . Kama kuchukua tahadhari ulipasaswa kuichukua mapema kama kutoa mimba ingali changa. Ukijitoa hadharani kwa sasa miongoni mwa athari ni kuwa Mtoto...
magazeti mengine kuhusu tukio hilo, km daily news wameripoti kuwa makampuni yanayodaiwa kutolipa kodi yamepewa na serikali msamaha huo km masharti yao ya uwekezaji, na mengine yanalipa kodi pungufu kuliko ilivyotarajiwa. Kwa hiyo tatizo ni serikali yenyewe na si makampuni hayo, kwa kuweka...
Wenye ushahidi wa kadhia hiyo na waumbwage hadharani kabla ya kutoa hukumu. Isije ikawa tunajadili kitu ambacho hakipo, Ama kila upande wa serikali ya Muungano na ya SMZ zina majukumu yake katika kuchangia elimu, iwe ya juu ama ya kawaida. Km ni hivyo iwapo upande mmoja kwa sababu moja ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.