Recent content by Kelela

  1. Kelela

    Namna bora ya kumsaidia Bwana Mdogo mtaji wa Biashara

    Hongera sana kwa kutupatia maarifa haya muhimu.
  2. Kelela

    Nahisi sina bahati na biashara

    TAFADHALI, TAFADHALI USIJINYONGE WALA KUCHUKUA MAAMUZI YA HATARI. Ndio biashara zilivyo, kikubwa ni uvumilivu na kubadili mbinu, na mambo yakiwa magumu zaidi unaweza kubadili aina ya biashara, usilazimishe ufanikiwe kwenye biashara ambayo inakumalizia mtaji mwisho utabaki mikono mitupu.
  3. Kelela

    Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

    ALLAAH HUMUACHA APOTEE AMTAKAYE NA HUMUONGOA ANAYEELEKEA KWAKE.
  4. Kelela

    Nimejitafuta kwenye kubeti mpaka nimechoka

    ACHA KUBET HIYO NI KAMARI NA KAMARI NI KUBAHATISHA TAFUTA KAZI HALALI ITAKAYOKUINGIZIA KIPATO CHA HALALI
  5. Kelela

    KWELI Tozo za kutoa pesa kwa wakala na ATM bado hazijafutwa

    Kumbe hakuna walichofanya!
  6. Kelela

    KWELI Tozo za kutoa pesa kwa wakala na ATM bado hazijafutwa

    Habari za leo WanaJamvi. Naomba kujua, Tulitangaziwa kuwa Tozo za serikali zimeondolewa kwenye miamala ya simu Tangu Tarehe 1 Julai 2023. Lakini Nashangaa hadi Leo Tarehe 21 Julai 2023 Nikitoa Pesa TIGOPESA Nakatwa Tozo ya Serikali, Kulikoni?
  7. Kelela

    Baadhi ya changamoto za madereva barabarani

    Ni takribani miezi 10 sasa tangu nianze kuendesha chombo cha moto (pikipiki), Ingawa sina route ndefu kwani maximum route zangu ni kilometa 40 au chini ya hapo. Kwa kipindi hicho cha miezi kumi nimeona baadhi ya makosa haya ambayo ni hatarishi na yanaweza kusababisha ajali: 1. Dereva wa...
  8. Kelela

    LAMINATION MACHINE INAUZWA TSH 55,000

    IMEUZWA
  9. Kelela

    Desktop Computer Inauzwa Tsh 220,000 Tu

    Tsh 150,000 TU Karibu [emoji1666]
  10. Kelela

    Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

    1. Epson l3150 inafanya manual duplex. Kama ina tatizo jaribu ku-update drivers 2. Tatizo la kumwaga wino mweusi ni winotaka (waste ink) umejaa, tafuta fundi akuwekee drip, iwe inamwaga wino nje kwenye chupa.
  11. Kelela

    Je, unaifahamu Canva?

    Canva ni nzuri sana katika kuandaa Social media posts, Certificates na presentations. Kuna baadhi ya kazi kama logo na 3D Canva haipo vizuri sana.
  12. Kelela

    Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

    Sababu moja kubwa php ni rahisi.
  13. Kelela

    Huu udini sasa hadi kwenye biashara?

    Inategmea na biashara husika, kama mamalishe na ni waislamu ni bora wafunge tu. Na ndio maana biashara nyingine za waislamu zipo wazi kama vile maduka ya nafaka *mchele, unga, n.k) kama unaweza nunua upike mwenyewe. Usitake kulazimisha mtu aliyefunga aanze kukarangiza chakula kwa ajili yako...
  14. Kelela

    Nimepata Tsh 3.5 milioni. Nifanye biashara gani?

    Biashara ya Stationery Biashara ya Genge la Kisasa Biashara ya Dagaa nyama kutoka Tanga Mini Printing Office (vikombe, t-shirt, n.k) Biashara ya Kuuza Mashuka na Viatu vya kike.
Back
Top Bottom