Recent content by Ednatha

  1. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Asante shemu😉
  2. Ednatha

    R.i.p Afande Nicholaus Lonjino

    Apumzike kwa amani!
  3. Ednatha

    Msaada, mwanangu ghafla haongei

    Pole sana. Mungu akupe mwongozo sahihi wa kukabiliana na hilo tatizo Wapendwa huu sio muda sahihi wa kumhukumu, kwanza hatujui mazingira yaliyosababisha kuwapeleka boarding school. Kikubwa anachohitaji kwa sasa ni ushauri na faraja yetu
  4. Ednatha

    INAUZWA Nauza nazi

    Ningekuwa Da'slam ningekutafuta.
  5. Ednatha

    New member

    Naona umeamua kumkaribisha kwa mikono miwili[emoji38]
  6. Ednatha

    Mgeni

    Karibu mgeni, jisikie uko nyumbani
  7. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    😄Ok, asante kwa ufafanuzi!
  8. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Bilashaka huu sio ujumbe wangu ndio maana sijauelewa. Hope mwenye ujumbe wake ataelewa vyema
  9. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Poa! Niko Pwani
  10. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Asante kwa kujali ila kwangu dini ni muhimu sana
  11. Ednatha

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Oooh kumbe!
  12. Ednatha

    Kukumbuka ndoto

    Usipoikumbuka ujue ndoto hiyo haina maana/ufunuo au ujumbe wa maana.
Back
Top Bottom