Recent content by Azniv Protingas

  1. Azniv Protingas

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Amerika hawezi kukaa kando, yule ni mfanyabiashara kazi yake kuuza silaha. Hata vita vilivyopita vya dunia yeye ndio alikuwa msambazaji WA silaha. Mnafiki tu marekani na ndio fisadi No.1
  2. Azniv Protingas

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Tena waambie watanzania wanaona kula ugali ndio kuwa na miguvu, watu wanakula pizza na burgers, na wanapiga kazi kama wendawazimu. Ila watanzania wakiona huli ugali basi sijui wankuchukuliaje
  3. Azniv Protingas

    CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Kweli serikali imeshindwa kutengeneza vivuko kama hivyo vya Azam, au bora mradi wote wamuachie Azam Tu.
  4. Azniv Protingas

    Utatuzi wa mfumo wa ulipaji nauli kwenye daladala

    Ni wazo zuri lakini sidhani kama makonda na madereva watalikubali Kwa sababu pesa yote itakuwa inaenda kwa tajiri moja kwa moja. Wakati sasa hivi konda ndio anapeleka hesabu kwa tajiri na kinachobaki wanagawana, kwa mfumo huo itabidi tajiri ndio awalipe wafanyakazi wake. Mimi naona kuwe na...
  5. Azniv Protingas

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Kuna rafiki yangu lilimkuta jambo kama hilo, alipomaliza form six (hakuwa na vigezo vya kuendelea degree) mama wake akapigiwa simu na chuo kutoka Arusha akaambiwa mwanao amechaguliwa kujiunga na kozi ya clinical medicine, lakini huyo rafiki yangu hakuomba chuo Arusha na wala hajawahi kufika...
  6. Azniv Protingas

    Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

    Kama ni hivyo basi kuna siku moja tu
  7. Azniv Protingas

    Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

    Asilimia kubwa ya nafaka inayotumika Zanzibar ni mchele nao unatoka nchi za nje kama Pakistan na India na unauzwa bei chee kuliko mchele kutoka Tanzania bara. Hata Sukari Zanzibar ni rahisi kuliko bara na wala Zanzibar hakuna kiwanda kikubwa cha sukari. Kwahiyo kusema kuweka kodi kubwa Kwa mazao...
  8. Azniv Protingas

    Zanzibar inaharibu sifa ya Tanzania

    Nchi moja, serikali tofauti na Katiba tofauti
  9. Azniv Protingas

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Kwani madaktari wanaotibu Ni wakristo Tu, ina maana hakuna waislamu kwenye hizo hospital
  10. Azniv Protingas

    Ukija kuamua kuanza kufuga utafuga mnyama gani?

    Kuku, mbuzi, ng'ombe, kondoo na bata
  11. Azniv Protingas

    Mwarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wapewa kazi ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Usishangae hizi ndio akili za watanzania wengi, hawajui wanataka nini, kila jambo ni kulalamika
  12. Azniv Protingas

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Protein gani ambazo zipo kwenye ugali?
Back
Top Bottom