Recent content by Feisal2020

  1. Feisal2020

    BMF: Black Mafia Family

    Mambo yakienda vizuri anaweza kuachiwa 2025
  2. Feisal2020

    BMF: Black Mafia Family

    Kwa nini?
  3. Feisal2020

    BMF: Black Mafia Family

    "The most important word in BMF is not Black, Nor mafia, it is FAMILY"- Meech
  4. Feisal2020

    Hatimaye B2K Mnyama amejipata!

    Sijawahi kumkubali ila kwenye hii ngoma ameua sana, Hata huyo mwingine alieshirikishwa nae kafunika
  5. Feisal2020

    Thread for lyrics only

    I know you were made for me, but darling don't you wait for me, coz I can see the promise land, but I can't make no promises Cole World
  6. Feisal2020

    Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

    Mpaka sasa Wewe 0 - 19 Jamaa.
  7. Feisal2020

    FT: Al Ahly 1-1 Simba SC (Agg, 3-3)| Africa Football League| Simba yaondolewa kwa Goli la Ugenini

    Na ndilo lilitutoa dhidi ya UD Songo, pia dhidi ya Jwaneng Galaxy.
  8. Feisal2020

    Pita hapa Mara Kuna tatizo

    Au tufanye kuna matatu mkuu, [emoji23][emoji23] Inawezekana ana ujauzito sasa anajua tu akikwambia utumie kinga hautotumia sasa anaweka kumbukumbu sawa ili baada ya wiki kadhaa akwambie ana ujauzito wako na alikwambia tangu siku ile utumie kinga we hukutaka hivyo unawajibika 100% kwa kila kitu
  9. Feisal2020

    FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

    Na nyie asanteni kwa kushiriki kutazama, next time mje na mpunga kutoka Mbalari
  10. Feisal2020

    FT: AFL: TP Mazembe 1-0 Esperence De Tunis | Stadium: Benjamín Mkapa | 22.10.2023

    Halafu wakitoka hapo wanakuja hapa kufungua nyuzi za kuyaponda mashindano na timu zinazoshiriki... Sijui wana akili gani hawa
  11. Feisal2020

    Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

    Kwani ukiwa na mpango wa kwenda uwanjani lazima uende? Huko kwenu kila mipango hutimia?
  12. Feisal2020

    Okay sweetheart now I'll let you go! Nenda mchumba🥺

    [emoji23][emoji23][emoji23] Kivumbi leoo
  13. Feisal2020

    Visit Saudia vs Visit Rwanda

    Unaonaje mvae nyie Utopolo mkija kutushangilia?
Back
Top Bottom