Recent content by Good Father

  1. Good Father

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    JF ni zaidi ya Sosho media
  2. Good Father

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    hizo stori za Kilokole zinawadanganya sana US kashasema hatatoa msaada anawaacha Wazayuni wajinyee peke yao. Nawakumbusha Mwarabu ana roho mbaya walokole msije kulia lia humu
  3. Good Father

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Ivi mbona jamaa sio four star General wakati ndo CDF? au Kenya wana utaratibu tofauti?
  4. Good Father

    KERO Ukifungua RB Arusha Central Police jiandae kujigharamikia huduma za stationery

    Hii mbona iko sehemu nyingi tu na tushaona ni kawaida
  5. Good Father

    Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Mama Samia ni kama anahujumiwa au wahuni wamemzidi ujanja. Kwa sasa hata mifumo ya GePG inasumbua balaa mpaka nahisi wahuni wanafanya kusudi kukwepesha fedha mbona kipindi cha Jiwe haikuwa hivi? Ishu za umeme ni kama wahuni wanamhujumu Mama Cha ajabu Mama hachukui hatua naye analalamika kama...
  6. Good Father

    Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

    Ni umalaya wa kiafrika na nyota ya umaskini tu wanawake wanafirisi sana
  7. Good Father

    Mwanamke hana mchango wowote kwenye mahusiano

    Wakati unaandika mambo mengi sana ya kejeli kwa wanawake mfikirie mama yako pia. Lakini pia kumbuka Mungu hakuwa mjinga kumuumba mwanamke. Dunia bila mwanamke ingekuwa na stress sana😂😂😂
  8. Good Father

    Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Kama wewe uko serious sana na maisha twambie umesaidia nini nchi? Maisha yetu ni ya kawaida na ya muda mfupi sana jitahidi kupunguza protocol na masharti uishi kwa amani na raha
  9. Good Father

    Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi)anayejaza warundi nchini kuwa mwakilishi wa vijana

    Wewe na hicho chama chako ndo mnaharibu nchi alafu unakuja kulalama hapa. Watu wengi huko hamna uwezo hii nchi haitaendelea kamwe. Tukisema mnatuua sasa mtaua wangapi? na nyie mtakufa tu hakuna mahala mtenda
  10. Good Father

    Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

    Dini ni moja ya majanga tuliyoachiwa Waafrika. Mitaani usiku mnene watu wanahubiri na vipaza sauti unajiuliza watu wanapumzika saa ngapi? Misikiti inatumia vipaza sauti usiku mnene. Washauri wawe wastaarabu utakachoambulia pengine wanaweza kukukata shingo kabisa
  11. Good Father

    Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Moral of the story ni divide and rule. Hii njia walitumiaga wakina nani Wafaransa au Wabelgiji? Wazee wa history nikumbusheni tafadhali
  12. Good Father

    Nimefanikiwa kuukwepa mzinga wa JWTZ muda huu

    Mtafuta content tu huyo
  13. Good Father

    Kuna kitu gani special katika hii pombe ya Hennessy?

    Watengenezaji wamei brand Wabongo wameingia mkenge nadhani jina lake limekaa ki slay queen na bei kubwa basi anayekunywa ana feel proud mpaka anaji selfisha anatuma mtandaoni. Nilionja siku moja ila haina jipya jina kubwa bila cha maana kama demu pisi kali kwa bed unaziba pua[emoji125][emoji125]
Back
Top Bottom