Recent content by Nationalist

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani kuchimba mfereji kutoka Bahari ya Hindi hadi bwawa la Mtera au Kidatu?

    Watch "Tidal power: how it works" on YouTube - https://youtu.be/qRUl1mJQHmc
  2. N

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kinondoni hatutaruhusu mtu yeyote kubaki vituoni

    Huyu nimemsikia akiongea jana nikasema kweli bado anahitaji elimu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Well spoken!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema akatazwa kufanya kampeni na wananchi wa Arusha

    Hamna haja ya kampeni rchugga aende akaongeze nguvu majimbo yenye upinzani
  5. N

    JamiiForums Tanzania Aiseeeee!!

    Hivi inawezekanaje mtu akapiga kura bila shahada? Sasa kama mjumbe wa CCM anakusanya shahada za wapiga kura, je hiyo si njama ya makusudi ya kuzuia watu kutekeleza haki yao ya kikatiba? Hujuma ziko za aina nyingi, wanaweza pia wakawa wanakusanya shahada ili kuzuia wafuasi wa vyama vya upinzani...
  6. N

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Mkuu ni muhimu kuwasikiliza wagombea ili kutoa hukumu sahihi
  7. N

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    JPM alipokuwa anahitimisha hotuba yake aliwasihi watanzania wasifanye mabadiliko ya kuiondoa CCM madarakani. Pia alitoa mfano wa boss aliyemtuma fundi bomba nyumbani kwake alipofika akakuta mke wa boss kazimia. Wakati fundi anajaribu kuokoa maisha ya mama kijana wa boss akakimbia kumpa boss...
  8. N

    JamiiForums Tanzania CCM imepitisha wagombea wenye madoa kama Chenge & Tiba, Polepole apite nchi nzima kuipinga

    CCM imepitisha wagombea wenye madoa kama Chenge & Tiba, Polepole apite nchi nzima kuipinga". Bwana Humphrey Polepole aliahidi kuwa CCM ikipitisha majina ya wagombea wenye madoa atapita nchi nzima kuhamasisha watanzania wasikipigie kura chama hicho kikongwe. Sasa basi, kwa kuwa CCM wamepitisha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania CCM imepitisha wagombea wenye madoa kama Chenge & Tiba, Polepole apite nchi nzima kuipinga

    Bwana Polepole aliahidi kuwa CCM ikipitisha majina ya wagombea wenye madoa atapita nchi nzima kuhamasisha watanzania wasikipigie kura chama hicho kikongwe. Sasa basi, kwa kuwa CCM wamepitisha majina ya Chenge na Tibaijuka, na hawa wawili ni watu waliochafuka mno kwa kashfa za ufisadi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Sospeter Muhongo On People’s Power

    Hata yeye jana alitoa takwimu tata, almost took him for mulugo, momentarily though. Eti 'makusanyo toka migodini yameongezeka kutoka trilioni 75 (2010) hadi trilioni 180 (2011). How can that be? Si tungefunga biashara zote tuhamie huko.Kisha akatueleza kuwa juhudi zake kuboresha mapato ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi

    Doesn't make sense to deprive people living on the shores of lake Nyasa the right to enjoy its resources. To some of us, the lake has been and will always be the only natural and customary source of life. Any act purporting to rob us of this prerogative is in deed an explicit violation of...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

    Article courtesy of Sweet Crude. Tanzania in move to avoid oil war with Malawi Tuesday, July 31st, 2012 31 July 2012, Sweetcrude, DAR ES SALAAM - Tanzania has urged a halt to Malawi's oil and gas exploration activities in the disputed waters of Lake Malawi. The emerging East African...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

    Mkuu kwa namna ambavyo huu mgogoro umekuwa ukinguruma hawa ba-Nyasa inaonekana wanatuchezea sharubu halafu tunawaangalia tu. Hawa ni wachokozi tuwatie adabu kama mtani anavyomkeketa alshabab. Hatuwezi kutishwa na kanchi ka watu milioni 15 kanakoongozwa na mwanamama.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Msanii DIAMOND PALTINUM in his new ride MERC SL500

    What has that got to do with this kid's fame?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mkoa maskini kuliko yote Tanzania

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina mikoa 32. Ukipanga mikoa kimaendeleo ni lazima utapata wa kwanza na wa mwisho. Mi nadhani cha msingi ni kujadili kama mipango ya kuikwamua nchi kutoka kwenye umaskini uliokithiri inafanikiwa au la. Ni vizuri tukaelewa kuwa hata kwenye mkoa tajiri kuliko yote...
Back
Top Bottom