Recent content by 101 East

  1. 101 East

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
  2. 101 East

    Tusubiri kuona mwenezi mpya wa chama akimfokea mkuu wa mkoa mpya wa Arusha

    Politics: Yeye alikuwa mwenezi na aliwafokea mawaziri na wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na watendaji wa Serikali, tusubiri mwenezi ajaye aje kumfokea na yeye 🤣🤣
  3. 101 East

    Historia Ngumu: Wagombea Urais 5, Rais mmoja, wamefariki ndani ya miaka 8 Tanzania

    Wagombea Uraisi mwaka 2015, John Magufuli Edward Lowasa Anna Mghwira Benard Membe Maalim Seif` Mungu awapumzishe uko mlipo [emoji885]
  4. 101 East

    Unaikumbuka miradi aliyoisimamia Lowassa akiwa Waziri Mkuu?

    Katika mradi ambao LOWASSA alishiriki kuusimamia kikamilifu kama waziri mkuu wa Tanzania kipindi cha serikali ya awamu ya nne ni: 1. Ujenzi shule za kata 2. REA - Umeme vijijini 3. Uchimbaji visima vijijini 4. Upungufu wa umeme nchini (mgao) 5. Ufugaji wa ranch Tuongezee mengine RIP legend
  5. 101 East

    TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania na mgombea urais mwaka 2015 Kwa tiketi ya chadema na umoja wa upinzani ukawa Edward ngoyai LOWASSA amefariki DUNIA Habari kamili kuwajia hivi punde
  6. 101 East

    Lushoto: Wazee wakausha maji kwa tambiko

    Wazee wa Kata ya Kwekanga Wilayani Lushoto Mkoani Tanga wamezuia chanzo cha maji kutokutoa maji hadi kufanyike tambiko mara baadaya ya Mkandarasi kwenda kuanza mradi bila kuwashirikisha Wazee hao. Akielezea sakata hilo Meneja wa Mamlaka ya Maji (RUWASA) Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga Mhandisi...
  7. 101 East

    Mwijaku kawazidi PhD holders?

    Nampongeza ndugu Burton mwemba Kwa kujipinda na kujenga nyumba wilaya ya kigamboni jijini Dar es salaam maeneo ya kisota kama anavyodai Ila pale ni maweni katika kauli zake anasema ameiheshimisha kigamboni Kwa yeye kujenga nyumba kigamboni Sisi mabepari wa huku tunamwambia aache ushamba na...
  8. 101 East

    Happy birthday prof. Janabi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
  9. 101 East

    Happy birthday prof. Janabi

    Leo ni siku ya kuzaliwa nguli wa Tiba za kisayansi za mwili wa binaadamu hususani moyo na figo si mwengine ni professor MOHAMMED YAKUBU JANABI LONG LIVE MZEE you really helped our country and society Tunakupenda Sana professor Janabi Happy birthday [emoji512][emoji324][emoji512] hope...
  10. 101 East

    Dhana Potofu ya kuongeza Maumbile

    SOMA KWA UMAKINI Kuna kitu kinaitwa cellular adaptation. Ukijua hii huwezi kununua dawa za kuongeza uume au matako. Iko hivi cells za mwili wa binadamu ukiziweka kwenye stress iwe ya muda mrefu au mfupi zinafanya adaptation. Na hizi adaptation ziko kama ifuatavyo:- 1. Hypertrophy Hapa cells...
  11. 101 East

    Mdogo wangu Shetta naomba nikukumbushe kitu muhimu sana " Mtoto wa kike huwaga ni mzuri sana kwa baba akiwa bado haja vunja ungo"

    Mimi Nina watoto wakike wazuri balaa nitaishi Huu uzi still bado najifunza One example the way jesca alivyomhuzunisha mshua mpka kwenda certificate ya education pale u-dom Dah mungu atuongoze but my daughters ni wazuri balaa [emoji56] Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
  12. 101 East

    Teuzi ya Maxence Melo, ina maana gani kwa JF na wanachama wake?

    Jf is it Safe anymore?! Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
  13. 101 East

    Mkuu wa mkoa awataka wanafunzi vyuo vikuu kuachana na ndoa za miaka mitatu

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Halima Dendego amewataka Wanafunzi wa Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Iringa kuacha tabia ya kuanzisha ndoa zinazodumu miaka mitatu ya masomo yao na pindi wanapomaliza masomo ndoa hizo huishia hapo jambo ambalo linapelekea Wanashuka hao kushuka kitaaluma. Dendego...
  14. 101 East

    Trump aondolewa kugombea uraisi 2024 nchini marekani

    Wanachama na Wafuasi wa Chama cha Republican Nchini Marekani wamelalamikia uamuzi wa uliotolewa na Mahakama Kuu ya Colorado wa kuondoa jina la Rais wa zamani wa Nchi hiyo Donald Trump katika karatasi ya kura ya uchaguzi wa awali wa Republican unaotarajia kufanyika mwakani 2024 Mahakama hiyo...
  15. 101 East

    Waumini wa Kanisa Katoliki tugome kwenda kanisani kwa shinikizo la viongozi wetu kumhoji Papa Francis, Vitu anavyoruhusu ni kinyume na Kanisa letu

    Tumetokaaa mbaaali tumemfuataaa DJ [emoji1787][emoji1787] Tumetokaaa mbaaali Sanaaa tumemfuataaa DJ [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] We Miso misondo umepigajee hapo Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom