Recent content by Namdawa

  1. N

    Fossfa & linux admin trainers

    jamani wana ICT tuko wapi.Tunapaswa kuchangamkia haya mambo kwa kuingia kwenye mtandao huu ili kuona wenzetu wanasemaje.Tunahitajika wengi tujifunze Linux.Unajua mfano aliyejifunza linux na akaweza kuandika program mbalimbali na zinazowasaidia wengi Mfano TCU leo ni mkombozi wa wengi na ile ni...
  2. N

    Fossfa & linux admin trainers

    hii ni njema jamani sema kwa vile watanzania wengi hatupendi kujielimisha kwa kuthubutu kupata vitu vipya tunabaki nyuma.Mwezi wa tano kulikuwa na e-learning for africa na watanzania hatukushiriki kabisa.Walikuwa wengi ni wakenya wanaigeria,waghana n.k na wazungu tu na mwenzetu Generali...
  3. N

    Nauza shamba eka tatu

    Nina shamba langu ambalo ninaliuza liko nje kidogo na Dar es salaam.Mkoa ni Pwani wilaya ya Kibaha.Sio mbali na barabarani.Sehemu lilipo Shamba hili ni eneo linajulikana sana kama Kwa Mbago.Lina ukubwa wa eka tatu. Kama uko na basi unashukia Visiga kwa kipofu.Ni sehemu ambayo kuna kuwa na...
  4. N

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Nasikia kupata uwwakala wa MPESA ni issue hebu utujuze jamani mimi nataka hata kesho lakini kupata hiyo number nasikia sasa hivi ni issue nikuone wapi themankind ili ikiwezekana nianze kabla ya tarehe 15 nimedhamiria
  5. N

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    nimefurahi sana kukutana na wafugaji hapa.Mimi pia ni mfugaji na kama kweli ndugu huyu ana nia ya kufuga kuku wa kienyeji nampa shauri aendelee.Mimi ni mjasiriamali ambaye pia ni mwalimu wa ujasiriamali. angalia hapa Home - ICT4TD Learning Centre hapa tunawafundisha watu kujifunza...
  6. N

    Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

    Nadhani kuna dhana potofu kwani kama mtu anania ya kusaidia umma kuelewa mustakabadhi wa nchi yao na hatimaye dola kumwonea nadhani ni ukiukwaji wa sheria. Dola ingefurahia kupata taarifa kama ambavyo walikuwa wanapewa fedha za ujambazi ili mtu akitoa taarifa basi alipwe sasa malipo ya huyu ni...
  7. N

    Natafuta mwanamke wa kuoa.

    je umri pia kama ni mlemavu
  8. N

    Je mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka hamsini anaweza kuolewa na kuzaa

    je kama bado anapata siku zake bila wasiwasi wowote.Nasema hivyo kwani kwangu nilipoongea naye yote yalionekana kuwa yapo sawa
  9. N

    Je mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka hamsini anaweza kuolewa na kuzaa

    natamani huyo mdada aliyeolewa na 50+ atueleze siri ya mafanikio yake kwani namin wapo wengi ambao wamekata tamaa
  10. N

    Je mwanamke mwenye umri zaidi ya miaka hamsini anaweza kuolewa na kuzaa

    Mara nyingi utakuta mwanamume mwenye umri wa zaidi ya miaka sitini anaoa na kuzaa na mwanamke wa umri wowote ule na mara nyingi wanaume wenye pesa ndio wanafanya hivyo na wanawake wanawakubali.Je kwa mwanamke inakuwaje? utakuta mwanamke huyu anajua kupenda na kuwa na hamu ya kuwa na mume lakini...
  11. N

    TV za dini kuanzishwa.Hii inaashiria nini?

    ndio maana nimesema hadi uwe na ufahamu wa kutosha hasa kwa namna ya roho na si kwa namna ya dunia hii.Ndipo utaelewa.Kufanya biashara ya matangazo sio msingi na huwezi kurusha kila tangazo.ni vigumu sana kurusha tangazo la TBL au Sigara ndugu yangu ni bora usiwe na hiyo TV kuliko kurusha...
  12. N

    TV za dini kuanzishwa.Hii inaashiria nini?

    Unajua kueneza injili sio swala la kueleweka.Bwana Yesu alisema enendeni kote ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu. Hii ni biashara na Bwana Yesu sio na wanadamu.Kwa hiyo hapa unatakiwa uwe na akili pia uwe na ufahamu si kwa namna ya ulimwengu huu.Wengi huwekeza hazina zao hapa...
  13. N

    Je umesikia?Africa Free Business Modules -Free LibreOpen Source Software Workshop-NIT

    Kuna workshop nzuri sana inaendelea kwa wiki mbili pale National Institute of Transport -Dar es salaam.Mabibo Kinondoni.Chini ya Coordinator Mzuri sana anaitwa Edger Telesphory.Hutachoka kusikia na nitakuwa nawaletea baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Semina hii.
  14. N

    Bei ya bajaj

    nadhani kaka yetu anayesema kuwa Bajaj zinauzwa shs hamsini elfu hakuelewa na hakujua jinsi ya kuzitofautisha.Alimaanisha maybe Baiskeli za mtumba. lakini Bajaj zinarange ya 4M to 5m
Back
Top Bottom