Recent content by Mzuzu

 1. Mzuzu

  LES RUMEURS-FRANCO & TP OK JAZZ

  My top on the list from Franco
 2. Mzuzu

  LES RUMEURS-FRANCO & TP OK JAZZ

  Huyu jamaa Mungu amrehemu aisee, jabali la Africa.
 3. Mzuzu

  Je, unatafuta Rupia ya Mjerumani?

  https://www.ma-shops.com/pollandt/item.php?id=70732 Hiyo hapo inauzwa laki 3
 4. Mzuzu

  Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

  Inashauriwa ufanye visualization na affirmations ya nini unataka na uicommand subconcious mind kupokea na kuifanya kuwa need yako. Ukiweza hili then Subconscious mind inajua lugha ya kuongea na universe (call it nature, God, Allah, Buddha, whatever kwa imani yako) then universe itakuletea...
 5. Mzuzu

  Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

  Kweli kabisa mkuu, kama Biblia inavyosema ukiamini kwa imani ndogo kbs sawa na mbegu ya haradali utahamisha milima. Ukiamini na kuilazimisha subconcious mind ikufanyie kazi itavuta na kukuletea chochote unachotaka. Hatujui ndo maana tupo tulivyo, kama ulivosema laiti tungejua!!!
 6. Mzuzu

  Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

  Mkuu imeeleweka sana, kuna vitabu viwili navikubali sana vinaeleza hii kitu in details na practice ya namna gani unaweza kubadilika. Think and grow rich cha Napoleon Hill na the Power of your Subconscious mind cha Dr. Joseph Murphy, pamoja na lectures za Bob Proctor - zipo nyingi sn online na za...
 7. Mzuzu

  Hatimaye Rwanda yaanzisha Gold Refinery - Hope Makinikia hayataenda nje ya Africa tena

  Rwanda gets first gold refinery The refinery has capacity to process gold from around the continent, boosting efforts to ensure that Africa adds value to its minerals before exporting them. By Julius Bizimungu Published : June 19, 2019 | Updated : June 19, 2019 Rwanda has acquired its...
 8. Mzuzu

  Acacia vs Tundu Lissu

  Mbona kaongelea legislature na utaalam wa negotiations kwa zaidi ya 80% ambayo kimsingi Lissu hahusiki. Sikiliza mantiki nzima ya video uliyopost ukiwa na independent mind. Ukiwa na sentiments kwenye kusikiliza na kuona ukweli hutapata point nzuri anazotoa za kujifunza. Tutabaki kuendelea...
 9. Mzuzu

  Laptop mpya ya kisasa ipo sokoni

  Ipo moja tu
 10. Mzuzu

  Laptop mpya ya kisasa ipo sokoni

  Poa kumbe unafanya mzaha na biashara za watu!
 11. Mzuzu

  Laptop mpya ya kisasa ipo sokoni

  Hata nusu ya bei sijafika nafikiri hawazifahamu hizi mashine
 12. Mzuzu

  Laptop mpya ya kisasa ipo sokoni

  Ongeza 20 tufanye biashara kiongozi
 13. Mzuzu

  Laptop mpya ya kisasa ipo sokoni

  Mwisho 830k kiongozi, hii mashine ina miezi 3 tu nauza kwa dharura nasafiri. HP Pavillion envy 170 touchscreen hiyo bei nayotoa haifiki hata nusu ya bei yake niliyonunulia
Top Bottom