Recent content by mzee nuksi

  1. M

    Katibu Wizara ya Afya tuombe radhi wataalamu viungo bandia

    Kampuni ya chuma na kutengeneza miguu bandia, kweli!? Inashangaza kuona serikali inasomesha wataalam katika fani Fulani alafu katibu wake anakuja kusema bila kupepesa macho eti tanzania hatuna hao wataalam. Jamani Tanzania kuna wataalam zaidi ya 50 wa viungo bandia ambao Wengi wao hawana ajira...
Back
Top Bottom