Recent content by Mzee Busara

  1. M

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Naunga mkono kufungiwa kwa mwanahalisi..... naunga mkono hoja
  2. M

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Ni haki kuliban mbona na sisi hapa JF wanatuban tunapokiuka kanuni?????????
  3. M

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Gazeti hili linyongwe, au lifungwe kifungo cha maisha.
  4. M

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    atakuwa hajatekwa bali kaingia mitini hataki kuongoza tena mgomo
  5. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    tutengeneze uchumi wa kufikirika ambapo tujiulize kuku na yai kipi kilianza? kwenye uchumi mchanga nguvu kazi ndicho kifaa muhimu kuliko vyote kwa kuwa wakati huo huna vifaa. Mfano, China enzi za Mao se Tung ni mfano wa nguvu kazi iliyowapeleka wachina hapo walipo na vifaa vikaja baadaye. Watu...
  6. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    Neno epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo haina maana acha kabisa kupunguza bajeti ya mandeleo, kwa tafsiri yangu ningesema punguzeni kwa makini bajeti ya maendeleo bila kuathiri uchumi....
  7. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    Watanzania tumejariwa kukosoa kuliko kujikosoa. Uzoefu duniani umeonyesha kwamba wananchi ambao waliendelea mapema kiuchumi ni wale waliotangulia kujikosoa na kuzungumzia mapungufu yao kabla ya viongozi wao. Hili ndilo chimbuko la somo la uzalendo wa kuifia nchi.
  8. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    kuongeza mapato ya serikali si kwa njia ya kupunguza matumizi tu bali hata ya uzalishaji kwa mtu mmoja mmoja ikiwemo mimi na wewe. Kimsingi, hakuna serikali duniani iliayojiri wananchi wake wote wengi wapo nje ya mfumo wa kisekta. serikali ya Tanzania kwa sasa ina watumishi kadri ya 400,000...
  9. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    Bajeti ya Mkullo iliyopita ilieleza kwa ufasaha maeneo ambayo serikali imeamua kupunguza matumizi na kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na hatua hiyo. Hatua hii ililenga bajeti ya matumizi ambayo si ya maendeleo. chukua bajeti hiyo soma eneo la vyanzo vya mapato ya serikali kwa njia ya...
  10. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    JK analaumiwa kwenda Davos hao hapo chini mmewaona. Hakika ningependa kujua ni nchi ngapi za Afrika zimekwenda kushiriki maana tunaambiwa Rais Jk hakuwa na sababu ya kwenda huko. kwenye plenary session ya Afrika pale Davos……..plenary ilihusisha waziri mkuu Raila, Zenawi,marais...
  11. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    Kumbuka kwenye mikutano ya kimataifa kila mtoa mada anapewa eneo la kusema ili kuondoa marudio. kwa hali hiyo Marais wa Afrika wasingezungumza kitu kimoja kwenye mkutano mmoja labda tu kwa maelekezo maalum ya waandaaji.
  12. M

    Majibu ya barua ya JK na serikali yake toka WEF(Davos)….Epukeni punguzo la bajeti ya maendeleo…

    kubeba kipengere kimoja tu kwenye hotuba kunaweza kupotosha maana ingependeza kama tungepata hotuba yote pengine kuna mahala aliongelea pia kipengere cha kupunguza matumizi mengine au jambo linalofanana na hilo.
  13. M

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    Waingereza ni waume zetu hatuwezi kuwakatalia kitu tutaachika.
  14. M

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    umelipwa posho kiasi gani?
  15. M

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    uongo mkubwa Rais halali Hotel moja na watu anaosafiri nao na husafiri na watu kulingana na umuhimu wao katika mkutano, wanakuwepo viongozi, watu kutoka sekta binafsi na za umma, wafanyabishara au mwakilishi wa chama cha wafanyabishara, nk.
Back
Top Bottom