Recent content by Dr. Mwigulu Nchemba

  1. Dr. Mwigulu Nchemba

    TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

    Salam comrades, Asanten kwa mijadala critical na yenye tija kwa Nchi yetu. Naomba kutoa ufafanuzi moja hata kama ni kwenye kichwa cha Thread. SIJAPENDEKEZA SHERIA MPYA YA SERIKALI KUNUNUA VITU VILIVYOTUMIKA. Hii ilikwepo kwenye Sheria ya Zaman ambayo tumeiandika upya someni kifungu cha 65B...
  2. Dr. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mwigulu apendekeza sheria mpya ya Serikali kununua vitu vilivyotumika (mtumba)

    Salam comrades, Asanten kwa mijadala critical na yenye tija kwa Nchi yetu. Naomba kutoa ufafanuzi moja hata kama ni kwenye kichwa cha Thread. SIJAPENDEKEZA SHERIA MPYA YA SERIKALI KUNUNUA VITU VILIVYOTUMIKA. Hii ilikwepo kwenye Sheria ya Zaman ambayo tumeiandika upya someni kifungu cha 65B...
  3. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  4. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Hii ndiyo siri wabunge wa CCM kumsifu Rais Magufuli

    Usipotoshe UKWELI,Kuwa na ADABU. wabunge tunamsifia RAIS MAGUFULI kwa Kazi zake za kutukuka kwa Taifa letu. Hatumsifii kwaajili ya kulinda majina wakati wa kugombea, Kazi alizofanya zinatunadi wabunge na CCM yenyewe. Ona, Vituo vya Afya vyenye hadhi ya hospitali za Wilaya kila Tarafa, Umeme...
  5. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba Vs Kiltila Mkumbo jimbo la Iramba Magharibi

    Swali la mipasho hupata jibu la mipasho Mayala. Ukitaka Econometric Analysis lete maada ya Uchumi sio mipasho. MG
  6. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba Vs Kiltila Mkumbo jimbo la Iramba Magharibi

    Labda kura ipigiwe jf na WhatsApp, Ila kwa Iramba, akipata hata nusu ya kura zangu nawambia Chama changu wamtangaze kuwa ndio mshindi. "NI HESABU MBAYA SANA KUPAMBANA NA MAMBA KWENYE KINA KIREFU CHA MAJI"
  7. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Mwigulu must go

    Bahati nzuri Sana wapiga kura wananihitaji kuliko vipindi vyote vilivyopita.
  8. Dr. Mwigulu Nchemba

    Uchaguzi 2020 Mwigulu must go

    Kwani tunaishi nyumbani KWAKO?😄😄😄
  9. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Field Marshall, the BEST FIELD OFFICER. Rafiki yangu SHUGHULIKA NA NAFISI YAKO. KWENDA MBINGUNI HAKUNA MPIGA DEBE
  10. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Bambushka, Kwa UBUNGE, MUDA UKIFIKA KAANDIKE IRAMBA
  11. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    NITAJIBU KILICHO MWAFAKA KUJIBU, HIYO NDIO KANUNI YA VIAPO, MIMI PAMOJA NA KUWA MWANA JF but NI MBUNGE
  12. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Hilo SIO la lazima mwanadam kujua
  13. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Unitafute Insta tusaidiane, nipate CV
  14. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    SIO KILA KITU KINAJIBIWA NA KILA MTU, NA KILA KITU NI PUBLIC
  15. Dr. Mwigulu Nchemba

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Aise Kati ya watu wanaonishukuru ni LWAKATARE, ONGEA NAYE UPATE UKWELI. ANAUJUA NA ANAJUA NILIMSAIDUAJE
Back
Top Bottom