Recent content by mwanatz

  1. M

    Mpenzi-Mchumba-Mke Anatafutwa

    Akhsante mkuu,
  2. M

    Mpenzi-Mchumba-Mke Anatafutwa

    Jielezee kwenye pm yangu mkuu
  3. M

    Mpenzi-Mchumba-Mke Anatafutwa

    Nitakucheki madam S
  4. M

    Mpenzi-Mchumba-Mke Anatafutwa

    Time limit ni kati yaa miezi 6 na miezi 12 tangu hatua ya awali mpaka hatua ya mwisho, inadepend na jinsi huyo mtu atakavyosomeka kwa urahisi au kwa ugumu(uchunguzi wa kuhakikisha makucha hayafichwi)
  5. M

    Mpenzi-Mchumba-Mke Anatafutwa

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 36,elimu ya chuo kikuu,mkristo, mrefu, maji ya kunde. Natafuta binti ambaye atakuwa mpenzi wangu,mchumba na hatimaye mke. Binti awe mkristo na awe na elimu kuanzia form four,asiwe na mtoto (nami sina mtoto) na awe msikivu na mwelewa. Kwa aliye...
  6. M

    Nyumba inauzwa - kimara

    NYUMBA yenye vyumba 3 , dining, sitting, jiko na choo+bafu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa kimara mwisho - ghorofani. bei Mil 35 (O.N.O). kwa mawasiliano ya kutumiwa picha za nyumba na maelezo ya ziada tafadhali wasiliana kwa namba zifuatazo 0755 198216, 0755 310028, 0717 640315
  7. M

    Nyumba inauzwa - kimara

    NYUMBA yenye vyumba 3 , dinind, sitting, jiko na choo+bafu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa kimara mwisho - ghorofani. bei Mil 35 (O.N.O). kwa mawasiliano ya kutumiwa picha za nyumba na maelezo ya ziada tafadhali wasiliana kwa namba zifuatazo 0755 198216, 0755 310028, 0717 640315
  8. M

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    kibonde kichani hamna kitu kabiiisaaa, nimewahi kuhudhuria harusi mbili ambazo yeye alikuwa MC, kwa kweli jamaa anachojua ni kujikomba tu kwa watu wenye nafasi maana alianza kujikomba kwa bwana harusi kiasi kwamba ndugu mmoja wa bwana harusi akatamani amropokee kwamba anataka binti wa watu...
  9. M

    Nyumba inauzwa kimara mwisho

    Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu. pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine. nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara ya kwenda bonyokwa na mita 500 kutoka morogoro road. HAINA MGOGORO bei 35,000,000/- 0755 198216, 0755...
  10. M

    Nyumba inauzwa kimara mwisho

    ??????????
  11. M

    Nyumba inauzwa kimara mwisho

    Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu. pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine. nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara ya kwenda bonyokwa na mita 500 kutoka morogoro road. HAINA MGOGORO bei 35,000,000/- 0755 198216, 0755...
  12. M

    Nyumba inauzwa kimara mwisho

    This Is IT
  13. M

    Nyumba inauzwa kimara mwisho

    Inaweza kupungia bila wasi wasi mkuu
  14. M

    Nyumba inauzwa kimara mwisho

    mmiliki wake anataka kuwekeza katika biashara nyingine mkuu.
  15. M

    Nyumba inauzwa kimara mwisho

    Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu. pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine. nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara ya kwenda bonyokwa na mita 500 kutoka morogoro road. HAINA MGOGORO bei 35,000,000/- 0755 198216...
Back
Top Bottom