Recent content by Mwananzuoni

  1. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Katika kumjali Mnyonge na kukua kwa uchumi wa viwanda, sasa TANESCO kuchaji 3% kila unaponunua umeme; jumla unakatwa 21%

    Ongezeko la 3% sio jipya. Makato ya REA yameanza siku nyingi baada ya REA kuanzishwa tu.
  2. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

    Mzee alitushauri watoto wake kuhusu kuoa. Usioe mwanamke mwenye matako makubwa, huyo atakuwa hana akili. Umenikumbusha Mama Sabrina.
  3. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hatuwezi kuendesha nchi kwa mawazo ya mtu mmoja

    Umenifurahisha "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu ambaye kwa sasa ni Mwanamume wa Shoka, Shujaa wa Mapambano ya Ufisadi, Mtetezi wa Wanyonge na Jemedari Dr. John Pombe Joseph Magufuli"
  4. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lagoma kumzika bilionea wa Ngurudoto

    Mkuu nakukumbusha: Zamani kanisa Katoliki lilikuwa linapata misaada kutoka nje kupitia Wamissionari wa Mashirika palipali (mfano White Fathers). Hivyo makanisa mengi yalijengwa na Wamissionari hawa kwa kutumia fedha zao. Siku hizi Wamissionari wa nje wamepungua sana, pia misaada imepungua kwa...
  5. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Ongezea na Dada yake Lisu (Marehemu kwa sasa (RIP)).
  6. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amshukia Mnyika, amuuliza ana uhusiano na wauaji wa Kibiti?

    Ameyataka mwenyewe, acha aitwe.
  7. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtaka Mkurugenzi wa DAWASA Eng. Archard Mutalemwa, kujistaafisha kazi

    Hapo umenena. Asije akawa na akili dogo kama ya Profesa Muhongo. Ukipewa muda utumie
  8. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Lema afikisha bungeni suala la kukamatwa mmiliki wa Lucky School

    You are right Nifah
  9. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, unakumbuka Ulimwengu alizungumza nini na leo yanatokea?

    Soma vizuri hiyo barua unayosema Wizara ilikuwa inafahamu kuwa bei ya umeme imepanda. Hiyo barua ni ya kuwasilisha mapendekezo ya kupandisha bei, na siyo ya kuwasilisha bei iliyopendekezwa na EWURA kwa Wizara. Tena hata hiyo barua Wizara imepewa nakala kwa taarifa tu. Hoja hapa ni:- 1. Mara...
  10. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Mama Ndalichako, kichwa cha nyoka hiki hapa piga!!

    Mkuu uko sahihi. Kuanzia Shule ya Msingi, Sekondari, mpaka Chuo Kikuu, Wengi wa Waalimu waliopo ni porojo tu. Hawafundishi inavyotakiwa. Bila juhudi ya mwanafunzi, hawezi kufaulu. Suala la Waalimu liangaliwe zaidi na sio makelele tu
  11. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuitakayo! Oh my God!

    Mkuu Mshana, Mazingira haya ndiko ulikohudhuria mtanange wa kunywa Supu ya Mawe?
  12. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kunywa gongo yaondoka na mshindi

    Mkuu ulihudhuria Mpambano huo?
  13. Mwananzuoni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongoza wananchi wa Dar kuaga mwili wa Dk. Didas Massaburi, atoa neno

    Je ni nzuri kudanganya, wakati huyo alikuwa mwenzao wanamfahamu?. Familia kudanganya imekosea na ndio utakuwa mwanzo wa kugombea mali za marehemu, kwa kigezo kuwa hawatambuliki. Ni Bora amemwaga ugali kabisa baada ya wanafamilia kumwaga mboga. Tusubiri kasheshe ya Wajaruo, walivyowabaguzi, Time...
Back
Top Bottom