Mangi mie nikazama kwa toto la kirangi,penda mpaka mtoto akawa apindui,ila kisichoridhiki huwa hakiliki hata ukijifanya mjuzi namna gani,alikua akiishi na dada yake,akamaliza form4,akawa anasomea mambo ya mapishi,siku moja akanipigia simu na kunieleza anamimba,nikamwambia haina shida avumilie...