Recent content by mwambene

 1. M

  Hii ni aibu UDOM

  c sawa hii habari pengine mtoa hoja ana ratiba binafsi anayoihitaji
 2. M

  Msaada

  Nawaomba wenazangu tuliochaguliwa chuo kikuu cha bagamoyo kwa kozi ya education hasa wale wa awamu ya pili ninaomba sana tuwasiliane kwa namba 0782495588 au 0767495589 na 0714495588. Ili tuweze fanya mazungumzo ya pamoja. Ni muhimu sana.
 3. M

  Ushauri

  Ndugu zangu chuo kikuu cha bagamoyo kina mfadhili wa kusomesha wanachuo wa hapo? kwani programme hata za education zinagharimu pesa za kitanzania kiasi cha shilingi 4990000/=kwa mwaka kama hakuna je,mtanzania wa kawaida ataweza kumudu gharama hii au kipo kwa ajili ya watu wa nje? ninaomba...
 4. M

  Second selection results for 2011/2012

  ndugu zangu angalie profile zenu muangalie ktk kipengele cha selection result ni kama matokeo tayari kwani mie nimeandikiwa 'SORRY,YOU ARE NOT SELECTED' nimemuuliza rafiki yangu Arusha kaniambia kuwa yeye ameishatumiwa matokeo yake kwa njia ya EMAIL na ameishapata chuo sasa sijui wengine lini au...
 5. M

  Jukwaa la Elimu

  jamani ndugu zangu nimeapply mara ya pili lkn nilipoingia ktk profile yangu nimekuta programme zangu nne hakuna badala yake wameniongezea programme mbili ambazo sikuziomba na ni nje ya taaluma yangu sasa nifanyeje? na kibaya zaidi kila programme nimeandikiwa not selected na kwa maana hii sielewi...
Top Bottom