Recent content by mwamba c

  1. mwamba c

    Naomba kujuzwa napoweza kupata tiba ya microneedling kwa Mwanza

    Habari wanajamvi, Husika na mada tajwa mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Nyamagana.Nina shida ya huduma ya microneedling, yeyote mwenye kufahamu mahali naweza kuipata huduma hii kwa Mwanza naomba anijuze. Asanteni
  2. mwamba c

    Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    ni kuwaloga tu wanaokurupuka na matamshi ya kuwaumiza walala hoi
  3. mwamba c

    Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    niliwahi kumuona huyu jamaa akimshusha mfiwa katika gari, akamlaza chini na kumkanyaga shingoni mbele ya familia yake waliokuwa katika gari, zama zake zimefika kikomo atavuna alichopanda kwa aliowatenda
  4. mwamba c

    Naomba kujuzwa juu la hili la Kijeshi

    TISS sio jeshi ila ni idara, hakuna jeshi la usalama wa taifa ila jeshini ipo millitary intelligence
  5. mwamba c

    Violence in Uganda: Museveni MUST GO!

    he must go if he is a decent person, when i think bout those who lost their beloved and families, i feel as if my mind is being driven by electronic machines, it is real shocking
  6. mwamba c

    Ni yapi majukumu ya msimamizi wa kituo cha kupiga kura?

    Habari wana jamvi? Ningependa kufahamishwa kuhusiana na majukumu ya msimamizi wa kituo cha kupiga kura kwani sina uelewa juu ya hili na ningependa kufahamishwa na wanaofahamu. Natanguliza shukurani za dhati. ====== Uteuzi wa Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura Uteuzi wa Watendaji wa Vituo...
  7. mwamba c

    Kutoka uwanja wa Uhuru: Tamasha la CCM linalojumuisha wasanii Tanzania

    naona mbasha kapewa mtama wa kima cha mbuzi jukwaan kutoka kwa adam mchomvu
  8. mwamba c

    Viashiria katika ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili na viwakilishi vyake

    Brother mshana tafadhali naomba uingie pm naomba msaada wako mkuu
  9. mwamba c

    Mke wangu hajui kuzungusha kiuno kabisa kunako sita kwa sita sijui nimfukuze

    Kwan mkuu ulitaka mkeo ajue kuzungusha kiuno unataka kuanzisha bendi ya twanga pepeta au?
  10. mwamba c

    Siku moja

    One day
Back
Top Bottom