Recent content by mwakipokile

 1. M

  Hatuna serikali, tuna mizigo tanzania

  Naunga mkono hoja!!!!
 2. M

  Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

  Huyo bi mkubwa nae anaboa sn, ye huwa anapenda sn kuleta udikteta bungen, km hv leo, mtu kayoa muongozo vzr tu juu ya wale mawadhili wenye dhamana kutokuwepo pale bungen, matokeo yake kaupotezea ule muongozo na kuangalia mambo mengine, sasa cjui maswali ya wale angeyajibu yeye"
 3. M

  Makinda ainuwa Mikono kwa Tundu Lisu - TBC Live

  Naunga mkono hoja mheshimiewa, yaani hawa watu tunaoamin kuwa ni wana usalama ndio vilaza kweli kweli, na kinacho wasumbua si kingine bali ni njaa, kwan si tuko nao huku kitaa! We askar anaomba tushwa mpaka ya buku sembuse ije kuwa hayo mamilion ya wakulima? Na sio km wakubwa wao hawajui...
 4. M

  Kosa la Lowassa lilikuwa kubwa kuliko la Pinda?

  Kikubwa kinachomsumbua ni njaa, maana c anajiita mtoto wa mkulima! Na kwa hapa ilipofikia inatisha ( mkulima kala mbegu......)
 5. M

  Kosa la Lowassa lilikuwa kubwa kuliko la Pinda?

  Oja yako ni ya msingi sn muheshimiwa, kwa hakika hii nchi hatuna viongozi, ispokuwa tuna vilaza watupu! We watanzania tumefikia hatua tunaishi kama tuko fafur! Hii nchi ni ya kwetu sote sema kuna watu tumewapa tu dhamana ya uongozi kwa kuwa wote hatuwezi kuwa viongozi, hivyo mti akiona km...
 6. M

  Wabunge watafuna Posho hovyo! CCM, CHADEMA wote washiriki mchezo mchafu

  Huyo bwana mdogo mshamba tu, km amepata dhara jimbon kwake c angerudisha hiyo pesa? Kulikuwa na ulazims gan wa kuitumia jimbon kwake! Km analipenda xn jimbo lake c atumie sehemu ua mshahara au posho yake km anavyofanya mnafki zitto? Acha kutetea mafisad hao dada angu
 7. M

  Edward Lowassa kuongoza tamasha la 'Boda boda day' Jijini Dar es Salaam

  Piga kelele utakavyo ila mr ebbo levo nyingine!!!
Top Bottom