Ivi mbona mnachukulia wenzenu sio binadamu...kwani raisi afai kuzungumza kwa kile ambacho amekiona.... Pia aliyetoa tamko la kuachiwa ni Wizara ambayo basata iko chini ya iyo Wizara
Katika mikataba ya kibiashara kipengele cha wapi mtashitakiana au amshitakiana Mmoja wenu akikiuka kinakuwepo wazi? Kwa maana yake kusema huo mkataba iko kipengere kipo... Na ata kama kipo bado amna kesi kuna mapungufu mengi sana...
Inabidi atueleze amekamatwa kwa kuvunja mkataba na basata au kwa ajiri ya nyimbo baada ya apo tumpe swali jingine maana naona amekuja kwa kupanic utafikiri ye ndo kaguswa kwa mawazo yake na tafsiri yake
Usipanic twende kwa hoja na wala si kupanic...umejibu vyema amevunja mkataba na basata? Kwa iyo maana yake basata ndo walitoa amri akamatwe na amekamatwa kwa makosa gani?? Maana naona umejibu kwa kupanic tuu... Je amekamatwa kwa kuvunja mkataba au kwa nyimbo?
Nimepata kusikiliza nyimbo ya nay wa mitego mara nyingi niwezavyo na nimeshangaa kusikia polisi ndo wamemkamata maswali ambayo nimejiuliza ni kuwa wanaelewa maana ya msanii na wamemkamata kwa kosa gani sababu kazi ya msanii ni kuimba juu ya kile ambacho wewe unafikiria yeye amuusu...
Kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.