Recent content by Mustakbali

  1. Mustakbali

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Mhesimiwa Waziri Mkuu nakupongeza kwa kazi nzuri pale TPA, hasa ulipohitaji orodha ya mapapa. Wafanyakazi wa bandari wamekuwa maarufu kwa jina la wazee wa bandari kutokana na matumizi makubwa wayafanyayo wawapo uraiani. Nchi imekuwa ya kupiga dili kila kona.
  2. Mustakbali

    Watu wanachanganya sana haya maneno, Salon na Saloon

    Saloon, ni kama alivoeleza jamaa hapo juu yaani bar Salon, ni sehemu ya kutengeneza nywele Grocery,sehemu ya kuuza vitu tofauti na vyakula reja reja
  3. Mustakbali

    Sasa tumeanza kuijua kazi ya 'Katibu Mkuu Kiongozi'

    Aisee kama mambo yako hayakuwa mazuri awamu ya Kikwete ndo sababu ya kumchukia unalo ilo, yeye yupo Msogaaa anakula bata na Riz na vijukuu vyake
  4. Mustakbali

    Sasa tumeanza kuijua kazi ya 'Katibu Mkuu Kiongozi'

    Ni kweli, nakuunga mkono
  5. Mustakbali

    Sasa tumeanza kuijua kazi ya 'Katibu Mkuu Kiongozi'

    Acheni kumtolea maneno machafu mzee wa watu, mwacheni ajipumzikie. Binadamu hamna shukrani hata kidogo?! Hatukatai JK aliwaachia sana watendaji walio chini yake sababu hakuwa mkali, lakini ni raisi pekee mpaka sasa ambaye waliokuwa mawaziri kwenye awamu yake wamepelekwa mahakamani na kushitakiwa.
  6. Mustakbali

    Baniani mbaya, kiatu chake dawa: Wa kushukuriwa ni Lowassa

    Ni kweli Lizaboni, Mheshimiwa Raisi hafanyi kwa presha ya Lowassa bali UTENDAJI KAZI upo ndani yake. Lowassa ni mzuri katika uongozi labda Zaidi ya Magufuli lakini muda wake umepita afya hairuhusu tena.
  7. Mustakbali

    Watanzania tubadilike tuijenge nchi yetu

    Watanzania wenzangu, Mh. Raisi Magufuli ana kazi kubwa mbeleyake juu ya kurekebisha hali ya utendaji wa watumishi wa umma nchini. Pendekezolangu ni kwa mwananchi mmoja mmoja kubadili mtindo wa maisha kwani filosofi ya Hapa Kazi Tu itamgusa kila mmoja wetu. Maeneo ambayo nadhanituanze nayo ni...
  8. Mustakbali

    Kumfukuza kazi Rished Bade ni kumpiga teke chura?

    Watanzania kwa mbwembwe bhana, misemo misemo tu hamjambo!
Back
Top Bottom