Recent content by musabuze

  1. musabuze

    Je, PhD hewa zipewe kipaumbele kwenye nafasi za uongozi na siasa?

    Miaka ya hivi karibuni Tanzania imekuwa na ongezeko la watumishi wengi wa umma ambao wanaongeza elimu ili kujiweka katika nafasi nzuri za kuwa viongozi katika ngazi mbalimbali za serikali. Asilimia kubwa wakiwa ni watumishi wanaowania Masters na asilimia iliyobaki ni PhD. Hii imepelekea mfumo...
  2. musabuze

    Mbunge Ahmed Mabukhut Shabiby: Tanzania sio pango la Wanyang'anyi

    Ulishawahi Kusikia Kagame Anaupiga Mwingi?
  3. musabuze

    Rais Samia upole ukizidi watataka wakae juu ya mabega yako, kuwa mkali kidogo.

    HONGERA Vipi Kuhusu Kuupiga Mwingi ? Kuna Ukweli Wowote ?
  4. musabuze

    Je, video editor gani inafaa kwa hii laptop?

    Ukiona Software Iko Free Haina Ubora Ukilinganisha na Zile Paid Ones Hiyo KDENLIVE Ina 84 Mb Unalinganisha na Features zilizoko kwenye Software ya 889mb Mpaka 2GB ? Anyway Kulingana Na Mahitaji ya Mtu Ila Ushauri Wangu Hizo Ni Best Endapo PC Ina Low Spects na Pia Kwa Mtu Mwenye Ujuzi...
  5. musabuze

    Je, video editor gani inafaa kwa hii laptop?

    Adobe Sikushauri Kwa Huo Ukubwa Wa Pc Yako Inaweza Kuwa Sloo 1.Camtasia Studio x 2.WondershareFilmora Zinapatikana Full Cracked Ndani Ya GetInToPc.com Ni MB Zako Tu.
  6. musabuze

    Wana JF Naomba Muijaribu Hii Forum ya Ujuzishare

    Jamii forums ni Xenforo software100% na app yake ni Tapatalk nayo ni innovation
  7. musabuze

    Jinsi ya kutengeneza social network app

    SwahiliSkills On Youtube
  8. musabuze

    Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

    Pograming ni kwa mtu ambaye anataka Kwenda kwa Undani Zaidi Kuhusu Applications lakini kwa mtu wa kawaida anayetaka app Hakuna Haja ya yeye Kujua Coding
  9. musabuze

    Jinsi ya kutengeneza App ya news bila ujuzi wa Coding wala Programing

    Habari Wana JF, Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding. Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni Kazi Kama Kazi Zingine ila Kuwa na Shauku ya Kuwa na App Yako ni Mahitaji Kama Yalivyo Mahitaji...
  10. musabuze

    Wana JF Naomba Muijaribu Hii Forum ya Ujuzishare

    It was a trial to Understand Forum Creation principles ndio maana nikaona nishee huu uzi nione function za users mbalimbali na moderators ktk forum
  11. musabuze

    Wana JF Naomba Muijaribu Hii Forum ya Ujuzishare

    What do you understand by the term innovation?
  12. musabuze

    Wana JF Naomba Muijaribu Hii Forum ya Ujuzishare

    JamiiForums=Xenforo+Tapatalk SwahilQA= QA Engine wordpress theme Wachache wanaocode from scratch
  13. musabuze

    Wana JF Naomba Muijaribu Hii Forum ya Ujuzishare

    Nimefanya Jaribio la Kuunda Forum Ya Ujuzishare BONYEZA HII LINK HAPA UjuziShare Ni Forum ya kushare ujuzi alionao mtu katika vipengele mbalimbali na naomba muijaribu katika mambo yafuatayo -Kuregister na Kulogin (Haihitaji Activation) -Kucreate Thread -Reply Thread -Edit Profile Na...
  14. musabuze

    Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo la video kuscratch kwenye laptop

    install update ya intel graphic adapter kwenye windows update
Back
Top Bottom