Recent content by Mwizukulu jilala

  1. Mwizukulu jilala

    Nilichogundua watu wa ukanda ziwa Victoria ni wapole sana, hawana makuu na hawajui majungu

    Hawa watu wanaridhika na maendeleo kiduchu sana....subwoofer ya laki na themanini anawasha kwa sauti ya juu na kuona ameyapatia maisha.....astaghfilulah!
  2. Mwizukulu jilala

    Nimejifunza kitu kuhusu Sadaka

    Kumfanya mtu atabasamu nayo pia ni sadaka...
  3. Mwizukulu jilala

    Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Kuiba sadaka msikitini... Nina imani Mungu alishanisamehe.
  4. Mwizukulu jilala

    Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Wacha aburuzwe na wewe ukitaka buruza....huwa hawaambiliki hao mpaka yawakute...
  5. Mwizukulu jilala

    Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Zero mlizozipata darasani zinawafata mpaka kwenye maisha ya kawaida
  6. Mwizukulu jilala

    Stukaaa vyakula vya mtaani

    nyama ya mbwa inachanganywa na nyama ya mbuzi
Back
Top Bottom