Recent content by Murashani GALACTICO

 1. Murashani GALACTICO

  Ipi ni 'Logical' kuwaita kwa pamoja Mawaziri Wakuu Wastaafu uwasikilize au uwatembelee tu Mmoja Mmoja 'Makwao' kwa Kuwashtukiza?

  Afu ukitizama mawaziri wakuu wastaafu waliotembelewa ni wale hivi majuzi juzi walishauri na kutoa maoni katika kipindi kifupi kilichopita majukwaa tofauti tofauti kwamba KATIBA Mpya haiepukiki kipindi hichi.
 2. Murashani GALACTICO

  Waziri Makamba: Sasa Serikali itanunua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji

  Lini kitafufuliwa kiwanda cha TIPER walau tusafishe mafuta ghafi ili by products zingine tuzipate tupunguze tatizo la ajira na bidhaa za petrolleum zishuke bei. Lini tutaanza na sisi kuvuna mafuta tulionayo kwa maslahi ya woote na sio wachache kama tunavyoona huko kwenye baadhi ya nchi za wavaa...
 3. Murashani GALACTICO

  Wakati ndugu zetu wanaconsume 1,400 MW, Kenya ina-consume 2036 MW ya umeme na haturingi

  Meanwhile watu wa Turkana na Rift valley hawezi kula umeme. So far so bad, alshabab wanakuja wanajipigia kama vile taa mmezima na umeme mnao. Lol
 4. Murashani GALACTICO

  Waziri Mwambe: Kinachojengwa ni Bagamoyo Economic Zone Bandari ni sehemu ndogo tu ya huo mradi. Bandari itatumia hekta 800 tu kati ya 9800!

  Mikataba ya huo mradi iwekwe hadharani nani kashinda dhabuni na kandarasi tuwajue wanafanya kwa fedha za ndani aunza mkopo na masharti ya uanzaji na kumalizia hadi kuanza rasmi mradi kufanya kazi ni yapi. Yasomwe bungeni wabunge wetu japo wengi vilaza lakini yasomwe redioni na sisi wa huku SAMVU...
 5. Murashani GALACTICO

  Tujiandae kwa maumivu gani tena waungwana!?

  Ada za shule kama sio kuongezeka basi zitarudishwa rasmi kama sio ada basi michango itawekwa kwa lazima. Tusisahau kuchanjwa kwa lazima kunanukia.
 6. Murashani GALACTICO

  Kwanini tunahitaji Higher Education Regulatory Authority (HERA)

  TCU, NACTE kazi yao ni ipi? Ngoja wajuvi waje lakini.
 7. Murashani GALACTICO

  Kwanini sukari imekuwa ghali saaana wakati viwanda vipo nchini vya kutosha?

  Hiyo ilikuwa kauli ya dingi mmoja sasa anawaongoza malaika huko mbinguni na wale waliokuwa wanatembelea MAVIETE ndo walikuwa wanamsapoti kwa kauli za kindezi zilizoua uchumi wa nchi na wa wananchi wengine.
 8. Murashani GALACTICO

  Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021

  Nadhani tunaelekea mahadhimisho ya uhuru miaka 60.
 9. Murashani GALACTICO

  Rais Museveni, amkabidhi Rais Samia shule iliyojengwa kwa fedha za Serikali ya Uganda

  Zama zile tungepigwa kamba eti tumejenga shule hii kwa fedha za ndani
 10. Murashani GALACTICO

  Ukuta wa Mirerani upo lakini bado Tanzanite inaibwa...

  Inasikitisha sana wezi wanapotumwa wakachunguze wezi
 11. Murashani GALACTICO

  Waziri Ummy (TAMISEMI) ashtukia Halmashauri ya Hai kutumia visivyo pesa za Serikali

  Kama tuu ulikuwa hujui take it from me. Pesa iliyoingizwa kwenye mashule mbalimbali nchini bodi za shule na kamati za ujenzi zimeelekeza izo fedha kwenye maboma au miradi ilikuwa imekwama au ipo kwenye hatua za mwisho na ripoti wanaandika tumejenga kwa fedha za mhe RAIS ilinihali miradi...
 12. Murashani GALACTICO

  Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

  Daaa aseee wazee wakutoboa usiku tumeachwa wakiwa kama wana Ukawa. Siamini sasa Muvi kali naenda kuzifata kwenye mabanda muvi zenyewe zimetafasiliwa sizipendi hata kidogo muvi za kutafsiriwa
Top Bottom