Umemshauri vizuri naongeza nyama kidogo. Kwa sehemu ya nje kwenye fascia boards kwa chini huwa ndipo PVC hutumiwa. Gypsum boards kwa nje hazifai kutokana na unyevu na maji ya mvua. So atatumia zote pvc na gypsum, pvc kwa nje na gypsum kwa ndani.
Naona hakuna aliekujibu kuhusu hivyo vimistari kuingia master ni ngazi. Huenda ni ghorofa ya kishkaji ambapo master room ipo floor ya kwanza. I stand to be corrected.
Bei za last week
Bati za mgongo mpana bundle la bati 16 ni 632k gauge 30. Na sikuhz hawakati kuendana na vipimo vyako, ni bundle tu kwa gauge 30.
Versatile/(bati lenye muonekano wa kigae)yenye mchanga niliambiwa 23700 kwa RM gauge 28
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.