Recent content by Mukuru

  1. Mukuru

    MSNBC suspends Olbermann over political contributions

    MSNBC suspends Olbermann over political contributions By Michael Calderone michael Calderone – Fri Nov 5, 2:04 pm ET...
  2. Mukuru

    Elections 2010 Kuna aliyetarajia dr. Slaa kushinda urais?

    Kwa mazingira ya kisiasa ya sasa nchini ni kujidanganya kuwa kiongozi wa upinzani anaweza kuwa Rais kupitia njia ya kura. Kwa hiyo yeyote aliyetarajia kuwa Dr. Slaa angekuwa Rais ama hayafahamu vizuri mazingira halisi ya kisiasa au anajidanganya kwa kujipa matumaini 'hewa'. Haiwezekani kuwa Rais...
  3. Mukuru

    Elections 2010 Kitakachowaangusha CHADEMA

    Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.
  4. Mukuru

    Mawaziri wenye PhD Feki hawa hapa!

    Simpo....kama PhD haitambuliki...acha kutumia u-dokta. Kama wahusika waliwasilisha nyaraka feki, kamata hiyo mutu na fukuza kazi. Kama vetting process ni porous...timua hao vihiyo wanaofanya vetting....hivyo ufumbuzi ni simpo...TIMUA, TIMUA ndo heshima itarudi.
  5. Mukuru

    Katibu wa Bunge msalabani

    Tumekuwa na utamaduni wa kuwa na kamati kibao lakini huwa hakuna hatua madhubuti dhidi ya watuhumiwa wa ubadhirifu wa mali za umma. Ifike mahali watu wawajibishwe badala ya kuwa na longolongo tu.
  6. Mukuru

    Pinda sasa ageukia mavazi awataka Watanzania kuachana na suti

    hizi pumba zingine zinatisha, hivi kuishi na wazungu ni bahati nzuri?
  7. Mukuru

    Mbunge kortini kwa kumkashifu Kikwete

    Tatizo ni kusema lililo bayana.....nani asiyejua kuwa JK anachekacheka? Tumerithi tabia ya kutukuza viongozi hata kama wanatupeleka kaburini. Tulipokuwa wadogo tulikuwa tunafundishwa kusema "zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama"....ilikuwa mwiko kupinga 'fikra sahihi" za mwenyekiti huyo...
  8. Mukuru

    Ukweli Kuhusu UDOM huu hapa

    Hii no hoja dhaifu mno. Hivi mtoa mada unatarajia kuwa kila sekta idadi ya waislamu na wakristo kuwa sawa? Ni kitu ambacho hakiwezekani kwani nafasi za kazi hazijazwi kuzingatia dini ya mhusika bali sifa za kitaaluma na ujuzi. Serikali inaweza kwa makusudi kabisa kujaribu kuoanisha uwiano huo...
  9. Mukuru

    Kizazi cha watumwa kutoka Afrika ya Mashariki kilifutika?

    Biashara ya utumwa ilifanyika miongo kadhaa iliyopita (inasemekana bado inafanyika baadhi ya maeneo duniani) na kusababisha watu weusi kuenea maeneo mbalimbali duniani mfano visiwa vya Carrebean, Amerika ya kusini, Marekani na kwingineko. Nimesoma kuwa watumwa wengi kutoka Afrika Mashariki...
  10. Mukuru

    DC kuambiwa hana adabu...JE, NI TUSI?

    Wakazi wa Kipawa wamwambia DC Ilala hana adabu WAKAZI wa Kipawa jijini Dar es Salaam wamemsikitisha Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Evance Balama baada ya kumwambia kinagaubaga kuwa hana adabu. Wananchi hao, walitoa kauli hiyo juzi ofisini kwa mkuu huyo baada ya wananchi hao, kuandamana hadi ofisi...
  11. Mukuru

    Kwanini Dunia inawalaumu Wayahudi(Jews) kwa kila kitu?

    Tatizo ni watu wengi kukubali hizi dini za mapokeo na kuzitukuza kushinda hata wenye asili ya hizo dini. Nani anayeamini katika upendeleo kwa Mwenyezi Mungu? Vyote ni viumbe vyake, uwe mswahili, mwarabu, myahudi, mkavirondo, mdosi, mchina n.k. Kabla hao waarabu na wazungu hawajaingilia imani...
  12. Mukuru

    Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    Hapo kwa ufupi CHADEMA wamechemsha! Hata mkiwatetea vipi...inaelekea uongozi wa juu wa hiki chama ni kwa ajili ya watu fulani ndo maana wanarithishana kama usultani. Hii haina tofauti na enzi ya chama kimoja ambapo mgombea alikuwa mmoja kisha fedha kibao zinatumika kwa kinachoitwa "uchaguzi"...
  13. Mukuru

    NDIYO, CCM NA IKULU WANATUMIKIA MAFISADI - Hii imakaaje?

    Source: Gazeti la Mwananchi NILIWAHI kuelezea ukigeugeu wa CCM wanapokuwa jukwani na wanapokuwa kwenye vikao vyao kwenye safu hii. Wanapokuwa jukwaani hujifanya watu wa watu na wanapokuwa kwenye vikao vyao hugeuka kuwa adui wa watu. Jamaa hawa wanapokuwa jukwaani huzungumza kama...
  14. Mukuru

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Tumeshuhudia mengi tangu Ndugu Samuel Sitta awe Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kiasi kikubwa amekuwa na tofauti na maspika waliomtangulia kwa jinsi anavyoendesha shughuli zake kama kiongozi wa mmojawapo ya mihimili ya dola. Kuna wanaomsifu kwa utendaji wake na kuna...
  15. Mukuru

    Cuf ikishinda zanzibar - nchi itatawalika?

    Nimekuwa najiuliza hivi CCM na watu wake wako tayari kukubali sehemu moja ya muungano kutawaliwa na serikali ya upinzani? Ikitokea hali kama hiyo ndo itakuwa mwisho wa muungano? Nadhani CCM wako tayari kuzuia hali hiyo isitokee kwa gharama yoyote ile. Wana JF hii imekaaje?
Back
Top Bottom