Recent content by mujusi

  1. mujusi

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kaluta Amri Abeid ni nani katika historia ya taifa hili?

    Hata Nairobi Kenya kina mtaa una jina lake uko bussy sana kwa maduka ya simu na electonics na Hardware
  2. mujusi

    JamiiForums Tanzania Dk. Mwakyembe: Ninajitoa mhanga katika mapambano ya madawa ya kulevya nchini

    Siasa bwana!!! wakati mwingine nahisi labda mwandishi wa habari hizi hakumnukuu vizuri. Hivyo Wizara ya uchukuzi ndiyo inayokamata (kutia nguvuni) watu wanaopita na Unga pale JNIA? Polisi (Kitengo maalum) walikuwa wanakamata kila mara lakini wale vidagaaa vya wakutolea mfano lakini Papa hawawezi...
  3. mujusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanyeje baba yangu mzazi ajue kwamba mimi ni mwanae?

    Kufanana si jambo la ajabu na sio kwamba kufanana na mtu ndio kuhusiana kibailogia.Fanya utafiti zaidi hasa kutoka kwa mama yako mzazi au watu wake wa karibu nae ambao waliujua uhusiano kati ya mama yako na huyo unaemuhisi kuwa baba yako kwa sababu katika mahusiano ya kimapenzi ya muda mrefu...
  4. mujusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania Bingwa wa Dunia

    Hivi hamuoni aibu kushabikia mambo ya udini katika maswala yasiyo ya Kidini. Hivi taifa hili mtalipeleka wapi na mambo haya ya kidini? Mbona Sister Jean alipomoukota mtaani huyu kijana hakutizama jina wala dini yake na mpaka leo kamuwezesha kuliletea sifa taifa na yeye mwenyewe? Hivi kwani...
  5. mujusi

    JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya Dabo indiketa, gia L,2,3 na O/D katika gari za Automatic

    Somo nzuri lakini mkumbuke kwambahaya mambo ya O/D ni kwa zile Automatic gearbox za zamani. Hizi za sasa kila kitu ni Automatic. Gearbox ina sense kutokana na Engine motion na terrain huna haja ya kubonyeza button ya O/D na tena kwenye gari sa kisasa hazipo kabisa.
  6. mujusi

    JamiiForums Tanzania Bakhresa achangia bajeti $800k

    Jamani hivi gharama ya kukarabati vichwa viwili unagharimu USD 800,000 (Tshs 1.2 billion equivalent)? Hata hivyo apongezwe tu. Hata kama wengine wakisema anataka msamaha wa kodi mbona wengi tu hawalipi kodi kabisa na hawachangii hata dawati la moja shule?
  7. mujusi

    JamiiForums Tanzania Mkopo kutoka Benki

    Mikopo imesaidia watu wengi. la muhimu ni kujua na kutafuta washauri wataalam wa maswala ya Financing iwapo huna utaalamu wa kutambua jinsi ya mkopo unavyochukuliwa na kurejeshwa kwa riba bila kuleta hatari ya kupoteza mali zako. Mkopo wowote na riba yake inategemea jinsi ulivyokuwa structured...
  8. mujusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania jua ubora wa simu yako kwa kutumia imei number(unaruhusiwa ku edit)

    Hizi information ni ya zamani takribani miaka mitatu au minne iliyopita, wale walioaanza tumia simu za mkononi na e mail boxes siku nyingi watakuwa wanajua. Kwa sasa simu nyingi zinazotengenezwa Marekani na Finland zinatoa major parts toka China from reputable Companies. China kuna kila aina ya...
  9. mujusi

    JamiiForums Tanzania Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

    Bango lipo na contact za kuweza jibiwa papo kwa papozipo kwa nini hamzitumii mpaka mnataka mjibiwe kupitia JF. JF siyo official web site au blog ya TRA. Uliza hoja na kero zako kwenye contact zilizotolewa na kama hujajibiwa ipasavyo ngazi ziko nyingi mpaka zitatatuliwa. Hizo contact ziliwekwa...
  10. mujusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I live positively with HIV, I am looking for mates of similar status!

    Your explanation and personal info could have added value if you included the little detail of your previous partner( if any). Have you abandoned her or you want to add new spouse/partner? Where you married before? What is the source of your infection since there are many causes which may lead...
  11. mujusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kupata stesheni za redio za Tanzania China

    Download free "Radio Rage" kama upo TZ nenda kwenye ' local' utaziona radio stations na chagua uitakayo kwa kubonyeza sign ya 'play'
  12. mujusi

    JamiiForums Tanzania 50% of the people failed to answer it correctly, Lets see what you guys comes up with..!!

    Ans is 1 there is no bracket there
  13. mujusi

    JamiiForums Tanzania LEO HII: Philipo Augustino Mulugo (MB) ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya

    NIDA watakuwa wanajua yote haya. Wameshapaitia ngazi za viongozi wa juu wa Serikali katika swala la kuwapatia vitamblisho vya taifa ikiwa mchakato wake ni kupitia /kuhakiki sehemu kadha za vyeti vya shule katika level mbalimbali na pamoja na vyeti vya kuzaliwa. Ukiona kimya basi ujue yuko safi...
  14. mujusi

    JamiiForums Tanzania Kibanda: Msitumie matatizo yangu kisiasa, Nape aumbuka hospitalini!

    Kwa akili ya kawaida kabisa Rizwan au Nape hawawezi kutumia Facebook account zao kutuma ujumbe kama huu ambao moja kwa moja utawachukiza wana jamii wengi. HII kama alivyosema Mgonjwa mwenyewe kwamba watu wengine wanachukua nafasi hii kuwachafua wengine ili wajijenge kisiasa. Hapa ndio mahalli...
  15. mujusi

    JamiiForums Tanzania Huyu ni mhehshimiwa au muishiwa?

    Cha ajabu utaona uchaguzi Klabu ya Simba anapita. Uchaguzi Tabora 2015 atapita na hata angegombea TFF ingawa alikumbwa na kashfa huko angepita. Hivi hii ikoje? Hata maajabu anayoya fanya hayaonekani. Kuna haja ya kuweka utaratibu wa kuwapima viongozi wanaotaka kuchaguliwa na hata wakati wakiwa...
Back
Top Bottom