Recent content by Mugo"The Great"

 1. M

  USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

  From Wikipedia " Naphtha (/ˈnæfθə/ or /ˈnæpθə/) is a general term that has been used for over two thousand years to refer to flammable liquid hydrocarbon mixtures. Mixtures labelled naphtha have been produced from natural gas condensates, petroleum distillates, and the distillation of coal tar...
 2. M

  Nyalandu atuma kikosi kazi kumaliza nyoka wa Koboko Urambo

  Ni kweli nyoka aina ya Koboko ni hatari lakini tukio ili limekuzwa kwani wenyeji ( locals) wanajua mbinu za ku-deal nao. Wengine tumekulia huko Urambo na tulifundishwa mbinu za ku-deal nao tangu tukiwa wadogo. Kuna msukuma Fulani kijiji cha Kamalendi Kata ya IFUTA ni mtaalam sana wa hawa wadudu...
 3. M

  Samwel Sitta: Sina muda wa kulumbana na UKAWA

  Sitta ameleta mikosi Urambo. Baada ya mkutano huo ambao alikusanya watu kutoka pande zote za Urambo kwa malori, usiku wake soko limeteketea huku akishuhudia. Sitta ni mkosi kwa wana-Urambo
 4. M

  Bomu lategwa nyumbani kwa RC Mulongo

  Nahisi ni zaidi ya Siasa/Udini. Hii inaweza kuwa suala la kuhujumu uchumi. Especially kuumiza sector ya utalii. Nani atakayekuwa beneficiary kama utalii utaathirika? Nadhani kuna kikundi cha watu kinataka utalii uanguke. Serikali iliangalie suala hili zaidi ya Udini/Upinzani. Inawezekana hata...
 5. M

  Utalii na madhara ya mabomu Tanzania

  Mimi nadhani huenda haya mabomu siyo CCM Vs CHADEMA/Upinzani. Tujiulize kwanini yatokee Arusha? Naweza ku-speculate kuwa yeyote anayefanya hivi lengo lake ni kuhujumu utalii. Swali jingine ni kuwa nani anaweza kuwa nyuma ya kuhujumu utalii? Serikali isiliangalie kwa muono wa Siasa au Udini peke...
 6. M

  Waziri Nyalandu ni hatari kwa usalama wa Taifa

  Please read this article: 21st May 2014 Tanzanian tourism will be fatally wounded should 40 years closed border between SerengetiNational park and the Kenyan Adjacent Maasai Mara be reopened, the governmenthas been warned. Contributing to the Ministry of Natural Resources and Tourism...
 7. M

  Museveni wants to kill me – Machar

  Siasa za South Sudan ni ngumu kidogo. Lakini ninaweza kusema kuwa Machar ndiyo mwanzilishi wa machafuko haya. Siku ya Alhamisi tarehe 12 Dec 2013. Wafuasi wake walikuwa wanawatangazia wananchi kuwa kutakuwa na public rally siku ya Jumapili (15 Dec.) na kilichotokea usiku wa tarehe 15 Dec. ndiyo...
 8. M

  Mkutano wa CHADEMA Kasulu mjini wafanyika, lakini...

  Kalinzi acha kudanganya watu, mimi mwenyewe ni mkazi wa Matyazo na nilibahatika kutembelea Nyarubanda, Mkongoro, Kalinzi sokoni na maeneo mengine, Watu wapo tayari kusikiliza hoja za pande zote mbili. Na muda mfupi nimeongea na ndugu yangu aliyepo Mwiranvya Kasulu na amenihakikishia kuwa watu...
 9. M

  Wanakigoma tunakusubiri mbunge wetu ZZK utuambie chakuifanya CHADEMA na unafiki wake

  Hapo kwenye bold.... wewe siyo mwana-Kigoma Kaskazini na huenda hata Kigoma mjini huijui. Wana-Matyazo, Nyarubanda, Mkongoro, Kalinzi centre walikuwa wanamuamini sana Zitto miaka ya nyuma. Lakini mienendo yake ilianza kuwatisha miaka ya hivi karibuni na ilifikia wakati wengi walipoteza matumaini...
 10. M

  President Kenyatta to hold talks with Botswana leader

  Mwaka 2009 wakenya wengi sana mikataba yao ilikatishwa, mimi ninajua zaidi ya wakenya 12 ambao mikataba yao ilikatishwa kwa sababu ya rushwa, wengine walipewa 48hrs kuondoka Botswana. Nakumbuka mwaka huo Rais Kibaki aliingilia kati kutaka kujua kulikoni. Serikal ya Seretse ikamwambia wazi...
 11. M

  EAC kuwa na visa moja bila ya Tanzania ni dhalili tosha kuwa Tz tumetengwa rasmi na EAC!!

  Mbona kama post hii imerudiwa...... Au naota? Sasa hivi Kenya wanahaha kwa sababu in June or July 2013, South Sudan walikuwa wanafanya upembuzi yakinifu kuangalia cost benefit analysis za bomba la mafuta kupitia Kenya, Ethiopia au Djibouti. Na sasa hivi tayari wameanza harakati za kujenga...
 12. M

  Vita kubwa ya soko la gesi Tanzania na Msumbiji inakuja

  Hii inaweza kuwa mikakati ya kutufanya Tanzania tuingie kichwa kichwa halafu "wawekezaji" wachukue bure. Hii inanikumbusha wakati wa Mr. Clean, alikubali ushauri wa IMF/World Bank kuhusu soko huria na ubinafsishaji ikiwemo mambo ya City Water, Tanzania tukaingia kichwa kichwa, tukalambwa. Mr...
 13. M

  Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha: Inspector Daudi wa Polisi akamatwa

  Kama ni kweli usikute ni strategy ya Chama Cha Mabwepande kikishirikiana na polisi ili kuwaangamiza CDM. Hao polisi wanaweza jitoa kafara kwa sababu hata wakipewa adhabu mahakamani, Mabwepande team itawatoa na kuwapeleka sehemu nyingine na wataendelea na maisha kama kawaida hasa ukizingatia...
 14. M

  TRA inanuka rushwa (tafadhali serikali wachunguze wafanyakazi wa idara hii)

  TRA ni pango la Rushwa. Mtu aki-import gari ndio ataijua TRA ni chaka la rushwa. Mwezi July mwaka huu kuna mjasiriamali mmoja alikuwa anafuatilia TIN ili aanzishe biashara ( mtaji laki nne), kufika tu TRA akaambiwa atoe laki mbili ili aweze kuipata hiyo namba within hours.
 15. M

  Operesheni KIMBUNGA yaanza rasmi .

  Zoezi hili /Operation hii isiishie kwa Wahamiaji haramu kutoka Rwanda, Burundi na Uganda tu. Liendelezwe kwa Wahamiaji haramu wote kutoka China, Somalia, Kenya, DRC na nchi nyingine yoyote ile. Zoezi hili likilenga makundi machache litakuwa la kibaguzi. Tunataka wahamiaji haramu wote watimuliwe...
Top Bottom