Recent content by Kisai

  1. K

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Hii sio maana yake mzee. Shida Kuna vitu hamna elimu navyo ila mnavijadili. Unatakiwa ujue Kuna uwepo wa umeme kwa maana ya uzalishaji, lakini Kuna miundo mbinu ya kusafirisha huo umeme kutoka point Moja kwenda nyingine. Kwa kipindi cha nyuma na mpaka sasa ilikuwa ni lazima ncho inunue umeme...
  2. K

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Hapa huenda Waziri kajichanganya, huenda umeme ukawa unatosha, ila hiyo mikoa kama ya Rukwa na Kagera na kuiweka katika Grid ni jambo la kimkakati na lenye kuchukua muda kutokana na mahitaji ya mikoa hiyo. Mfano kuna mradi wa TAZA project, huu mradi ni wa 400kV unatokea Iringa kwenye substation...
  3. K

    Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

    Mimi kidogo huwa niko tofauti, kwanza unapokuwa umeoa kwa ndoa kabisa, suala la kutarajia kupata mtoto ni jambo lenye kusubiriwa kwa hamu sana na kutarajiwa, na ikitokea kinyume chake, kwa maana shamba lisipoleta natija, hali huwa tofauti. Mimi mke wangu anapo enda kujifungua kwanza akili...
  4. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Huujui USHIA. Muulize Jalala kiongozi wa Mashia, Tanzania anasema kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa USHIA ni dini pweke isiyo fanana na Uislamu. Lakini, ukisoma vitabu vyao ndio utajua ya kuwa USHIA ni dini.
  5. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kingine Salafi sio Answer Sunnah. Wewe ni madhehebu ya Imam Shafi, umeisoma vitabu gani vya Madhehebu ya Imam Shafi mpaka ujinadi na Ushafi ? Mimi manhaj yangu ni Manhaj ya Salafy Swaalehe na madhehebu yangu ni ya Imam Shafi. Unaujua Ushafi ? Wewe ni Shia kutokana na michango yako na...
  6. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Abdullah Ibn Sabai hakuwa swahaba bali alidhibiri kipindi Cha utawala wa Uthman au Alii kama sijakosea.
  7. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Akili huna, najadili hoja na watu wenye akili au wenye hoja. Kacheze na watoto wenzako, huko tushapita zamani sana.
  8. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Katika ukoo wa Saudia hakuna damu ya Kiyahudi, na wao asili yao inarudi kwa Banu Amir. Unajua hizo story unazo leta hazina asili katika Historia bali ni matokeo ya watunzi wa uongo ili kuwasema vibaya Watawala wa Saudia
  9. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Shida sio dhehebu, hakuna ibada anayo fanya Muislamu ambayo inafanana na ibada wanazo fanya Mashia. Ukipata muda jifunze maana ya neno "Dhehebu".
  10. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Kijana hapa tunaongelea elimu, acha utoto. Kama una hoja weka tuijadili.
  11. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Bado nasubiri ulete ushahidi ya kuwa familia ya Saudi ni Mayahudi. Halafu sanadi za vitabu kama Usual al Kahf na Furu'u yake zilivyo jaa uzandiki. Mnajua kama nyinyi Mashia hamna hata elimu ya Rijali, kwa zama hizi huku mkidai ya kuwa Al-Khui ndio mwanazuoni wenu wenu wa elimu ya Rijali...
  12. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Nimecheka sana, kwahiyo hapo ndio ushahidi wa kuwa yeye au wao ni Wayahudi ? Hili nilikuwa tu ya kuwa lazima utakuwa hauna ushahidi. Hapa nataka uje na ushahidi kuonyesha wao ni Mayahudi, kusema "Cousins" sio ushahidi ya kuwa wao ni Mayahudi, kama vile Wakristo wanavyodai Waislamu ni watoto wa...
  13. K

    Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    Unajua ya kuwa Uyahudi ni dini na sio kabila ? Hakuna Historia sahihi iliyo andikwa ikaonyesha familia ya utawala wa saudia ni Mayahudi. Hizi Historia zenu mnazitoa kwa Mustashrikuun (Orientalist), watu ambao walijifunza Uislamu ili wake kupotosha watu. Historia ya Utawala wa Saudia umeisoma...
Back
Top Bottom