Vp
km aliyefukuzwa angekuwa mama yako au mkeo?
Ni kweli alifanya kitendo kibaya na hakikubaliki lakini adhabu aliyopewa ni kali mno.
Wangeweza hata kumkata mshara kwa miezi kadhaa wampe fidia aliyepigwa
Kuna mikataba ambayo unatakiwa ujaze Ina kila kitu sema wengi wakishawekewa mkopo hawaendi benki kufuata hiyo mikataba na bank hawaangaiki kusisitiza watu wachukue mikataba.
Unakubalije matokeo kwa Kusema CCM Ina wenyewe hicho ni kinyongo we kubali kwa moyo mmoja kuwa wenzako wameona hutoshi.
Umeisifia Sana CCM iweje Leo uipige vijembe hayo ndo matokeo ya demokrasia.
UMEIPENDA MWENYEWE
Tofautisha Mchungaji na Askofu
Gwajima ni Askofu mkuu kwa ufupi ndiye mmiliki wa kanisa lake sijui linaitwa Ufufuo na uzima hivyo anawajibika kwa kanisa lake moja kwa moja, Tofauti na Mchungaji ambaye yeye anaweza kubaki na daraja la uchungaji laikini akawa anafanya shughuli zingine mf siasa...
Huo ukosefu wa demokrasia ndani ya CDM hakuuona kipindi chooote Cha miaka minne ndo kauona Sasa wakati bunge
limebakiza week kuisha?
Huyu ni opportunist ameshaona upepo wa kisiasa kwake ni mbaya asitafute visingizio aende tu ni haki yake kikatiba