Recent content by Kinyeramumo

 1. K

  Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

  Wanawake ni viumbe watamu ukijua kuwatumia halafu hisia za mapenzi usipojua kuziendesha utaumia wewe! Namaana utamu na uchungu wa mapenzi ni wewe mwenyewe chagua moja. Mapenzi yalivyo matamu siwezi ingia nusunusu lazima nizame mazima😋
 2. K

  Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

  We ndo unahekima kweli hii takataka isiyojijua.
 3. K

  Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

  We unasifia wenzako nyie ndo wasindikizaji tu!
 4. K

  Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

  Dua la kuku hilo.
 5. K

  Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

  Punguza wivu wewe priscar wangu ni mtamu kushinda utamu wenyewe! Mi nimeingia mzimamzima na nikitoka nitatoka mzimamzima 😅
 6. K

  Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

  Si hivyo ndugu mi nimetoa formula tu😅
Top Bottom